Mwanamke Aua Watoto Wawili na Jembe
Na Bryceson Mathias, Njeura na MvomeroMWANAMKE wa Jamii ya Kimbulu wa Kijiji cha Njeura, Ester Daniel Maele (28) pichani, amewaua Watoto Wawili(2), baada ya kuwapiga kichwani na Jembe, wakati Mke...
View ArticleTimu ya Jimbo la Mkunazini Yaingia Nusu Fainali Kombe la Bonaza la Masauni Cup
Kamanda wa Vijana akikagua timu ya Muembeladu wakati wa mchezo wa mwisho wa Bonaza la Masauni Cup.linalofanyika uwanja wa malindi Zanzibar, Mchezo huo umeshindwa kumalizika kutokana na Viongozi wa timu...
View ArticleYANGA YAIPIGA POLISI KOMBAINI 3-0
Mshambuliaji wa Yanga, Donald Ngoma akijiandaa kupiga mpira huku beki wa timu ya Kombaini ya Polisi, Salmin Kiss akijaribu kumzuia katika mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini...
View ArticleMAJAMBAZI WAVAMIA KITUO CHA POLISI NA KUPORA SILAHA, WAUA POLISI WANNE, RAIA...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP. Ernest Mangu, akizungumza na waandishi wa habari katika Kituo cha Polisi Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam kilichovamiwa na majambazi na kusababisha vifo vya...
View ArticleMAJAMBAZI WAVAMIA KITUO CHA P[OLISI NA KUPORA SILAHA, WAUA POLISI WANNE, RAIA...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP. Ernest Mangu, akizungumza na waandishi wa habari katika Kituo cha Polisi Stakishari Ukonga jijini Dar es Salaam kilichovamiwa na majambazi na kusababisha vifo vya...
View ArticleMAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM LEO MCHANA YATIWA MBARONI
Mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu...
View ArticleDK.SHUKURU KAWAMBWA APATA MPINZANI JIMBO LA BAGAMOYO
Mtangaza nia ya Ubunge Jimbo la Bagamoyo, Mathew Juma Salum Yangwe. Mtangaza nia ya Ubunge Jimbo la Bagamoyo, Mathew Juma Salum Yangwe (katikati), akizungumza na makada na wanahabari wakati akitangaza...
View ArticleMsama awapiga tafu Kwaya ya Mt. Cesilia
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama akiwa amenyanua juu DVD, kama ishara ya uzinduzi wa albamu ya ‘Jipange Dunia’ ya Kwaya ya Mt. Cecilia mjini Dodoma juzi. (Picha na Danson...
View ArticleMICHUANO YA KAGAME KUANZA JUMAMOSI
Michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa Kagame Cup) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi siku ya Jumamosi tarehe 18 Julai 2015 jijini Dar es salaam, kwa kushirikisha timu 13...
View ArticleNjaa yawachomoa Magaidi msituni
Na Bryceson Mathias, KibunduMAGAIDI waliojificha ndani ya Msitu wa Kata ya Kibindu, mpakani mwa Bagamoyo, Kilindi na Mvomero, kwa sasa wanaathirika na Njaa, jambo ambalo linawafanya wang’oke msituni...
View ArticleTAMASHA LA NCHI ZA JAHAZI 2015 KUFANYIKA KOME KONGWE ZANZIBAR KUANZIA JULAI...
Mjumbe wa bodi wa Tamasha la Jahazi, Fatma Allo (kulia), akizungumza katika mkutano na wadau wa filamu na wanahabari Dar es Salaam leo jioni kuhusu tamasha la nchi za jahazi litakalofanyika kuanzia...
View ArticleBaraza la taifa la uwezeshaji na TPB wasaini makubaliano
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, (TPB), Sabasaba Moshingi, (kulia), akizungumza wakati wa kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano kati ya benki na baraza la taifa la uwezeshaji wananchi...
View ArticleMGOMBEA URAIS WA CCM AWASILI DAR
Mgombea Mwenza wa CCM, Samia Hassan Suluhu akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Dodoma pamoja na...
View ArticleDK. MAGUFULI ATUA DAR AKITOKEA DODOMA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa...
View ArticleMsama agawa zawadi za Idd el Fitr Dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akimkabidhi sehemu ya msaada wa vitu mbalimbali kwa mtoto Sophia Said wa kituo cha Yatima cha Maunga cha Kinondoni jijini Dar es Salaam ikiwa ni...
View ArticleMICHANGO BADO YAHITAJIKA UJENZI WA MSIKITI KIJIJI CHA KIMBANGULILE MKURANGA...
Huu ndio msikiti wa Masjid Fisabillah ya Mlamleni uliopo Kijiji cha Kimbangulile, Wilaya ya Mkuranga , Mkoa wa Pwani. Ujenzi wa Msikiti ukiwa umeanza. Hivi ndivyo ujenzi ulipofikia katika ujenzi huo...
View ArticleTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI YOMBO VITUKA DAR
Diwani wa Kata ya Vituka, Kenny Makinda (kulia), akisaidia kumtwisha ndoo ya maji Mwajuma Mikorota wakati wa hafla ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), ya kukabidhi kisima cha maji katika eneo la...
View Article