Mkurugenzi wa Masoko na bidhaa wa Huawei ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Jaco Van Zyl akielezea matumizi simu mpya ya Huwei P8 wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika katika klabu ya Country nchini Afrika ya Kusini.
Maofisa waandamizi wa kampuni ya Huawei wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu ya kisasa ya P8 uliofanyika katika klabu ya Country mjini Johanessburg nchini Afrika ya Kusini.
Mkurugenzi wa Masoko na bidhaa wa Huawei nchini Afrika Kusini Yudi Rambaran akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa simu mpya ya P8 katika klabu ya Country nchini Afrika ya Kusini wengine pichani kutoka kulia ni maofisa waandamizi wa kampuni hiyo ambao ni Chris Chetty ,Cameron Perumal,Charlene Munillal na Jaco Van Zyl
Wafanyakazi wa kampuni ya Huawei wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu ya kisasa ya P8 uliofanyika katika klabu ya Country mjini Johanessburg nchini Afrika ya Kusini.
Maofisa waandamizi wa kampuni ya Huawei wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya uzinduzi wa simu ya kisasa ya P8 uliofanyika katika klabu ya Country mjini Johanessburg nchini Afrika ya Kusini.
Shamra shamra zilitawala katika ukumbi wa klabu ya Country wakati wa uzinduzi huo.