Lissu, Aponda Safari ya Matumaini ya Lowassa, adai ni ya ‘Matumizi’
Na Bryceson Mathias, DodomaMWANASIASA Machachari na Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani bungeni,Tundu Lissu, ameponda Safari ya Matumaini ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Chama cha Mapinduzi...
View ArticleMKUBWA FELLA AWAITA MASHABIKI ESCAPE ONE
NA ELIZABETH JOHNMKURUGENZI wa bendi ya Yamoto, yenye maskani yake Temeke jijini Dar es Salaam, Said Fella ‘Mkubwa Fella’ amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi katika ukumbi wa Escape One Mikocheni...
View ArticleRUBBY AWAPA NAFASI MASHABIKI KUIJADILI VIDEO YA 'NA YULE'
NA ELIZABETH JOHNCHIPUKIZI wa muziki wa kizazi kipya nchini, kutoka Nyumba ya Kukuza vipaji Tanzania (THT), Rubby amewapa nafasi wapenzi wa kazi yake kuitathimini video ya wimbo wake wa ‘Na Yule’ ambao...
View ArticleUZINDUZI WA ALBAMU YA THAMANI YETU LEO KUFANYIKA JUNI 6
NA ZAWADI CHOGOGWEASASI isiyokuwa ya kiserikali ya Women In Society (WOISO), katika kuadhimisha siku ya Watoto Duniani Juni 6 mwaka huu inatarajia kuzindua Albamu zenye ujumbe wa watoto katika...
View ArticleCCBRT YAFUNGUA KIWANJA CHA MICHEZO YA WATOTO
NA ZAWADI CHOGOGWE HOSPITALI ya CCBRT iliopo Msasani jijini Dar es Salaam imefungua kiwanja cha michezo tofauti tofauti ya watoto hospitalini hapo.Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kiwanja hicho,...
View ArticleBENKI YA CRDB YAKABIDHI MADARASA MATATU NA MADAWATI KATIKA SHULE YA MSINGI...
Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Thea Ntala akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi madarasa pamoja na madawati katika Shule ya Msingi ya Talatala iliyopo wilayani humo.Benki ya CRDB ilitoa msaada wa kujenga...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DK. BILAL, LOWASSA, MAGUFULI W ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, ambaye tayari ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, Edward Lowassa, akionyesha koba lenye fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia CCM, baada ya...
View ArticleYAH: MGOGORO KATI YA MCHEZAJI RAMADHAN SINGANO NA KLABU YA SIMBA.
TFF imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za mgogoro wa kimkataba kati ya Mchezaji Ramadhani Singano wa klabu ya Simba.TFF imeagiza mwakilishi wa klabu ya Simba pamoja na mchezaji wa Simba wafike...
View ArticleTAMASHA LA JAMBO FASHION AFFAIR KUFANYIKA LEO ARUSHA
TAMASHA la Jambo Fashion Affair linatarajia kufanyika leo Jijini hapa na kushirikisha wabunifu wa ndani pamoja na wasanii kutoka Jijini Arusha na mikoa mbalimbali.Akizungumzia maandalizi ya tamasha...
View ArticleTAASISI YA SITTI TANZANIA FAOUNDATION YATOA MSAADA KWA MTOTO MWENYE UVIMBE...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu akiwasili nyumbani kwa mtoto Twaha Sultan Kipawa Karakata jijini Dar es Salaam ambapo alikabidhi msaada wa fedha kwa ajili ya matibabu...
View ArticleKureshy Ufunguo arejea uwanjani
Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars),Kureshy Ufunguo (Kulia) akipokea jezi kwa ajili ya kuanzisha shule ya mafunzo ya watoto wadogo (Na Mpiga Picha Wetu)Na Mwandishi...
View ArticleCHUO CHA DIPLOMASIA CHAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIA
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Dipomasia wakifanya usafi wa mazingira katika maeneo ya kuzunmguka chuo chao ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani. (Picha na Francis Dande)...
View ArticleSTARS YAJIFUA ADDIS ABABA
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwa katika mazoezi kwenye Uwanja wa Addis Ababa uliopo jijini Addis Ababa kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri utakaofanyika Juni 14, jijini...
View ArticleMAZISHI YA JAJI ANTONY BAHATI KATIKA PICHA
Baadhi ya waombolezaji wakitoa heshima za mwisho wakati wa kuaga mwili wa Jaji mstaafu mstaafu marehemu Antony Bahati nyumbani kwake Oysterbay Dar es Salaam.Baadhi ya waombolezaji wakitoa heshima za...
View ArticleNYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi mkoani Singida baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua leo. (Picha na Loveness Bernard)Umati wa...
View ArticleMAALIM SEIF ATANGAZWA RASMI KUGOMBEA URAIS KUPITIA CUF ZANZIBAR
Mashabiki na wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wakinyanyua juu mikono na picha za Maalim Seif Sharif Hamad kuonyesha kumuunga mkono katika nafasi ya kuwania urais wa Zanzibar, wakati wa mkutano wa...
View ArticleSIR. GEORGE KAHAMA AMBARIKI MH. MEMBE KUWANIA URAIS WA TANZANIA
Mwanasiasa mkongwe nchini, Sir. George Kahama akizungumza na wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa jana, wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA ACHANGIA MILIONI MOJA KUSAIDIA...
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akizungumza na wana jogging wa Kata ya Msasani Dar es Salaam leo asubuhi kwenye hafla ya kutimiza miaka mitatu tangu ianzishwe Msasani Jogging Club....
View ArticleMAPOKEZI YA MEMBE MKOANI LINDI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akisalimia umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi, katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati akitangaza...
View Article