Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GOLA KUWAONDOA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA

Afisa ustawi wa jamii na Maendeleo ya jamii jijini Arusha  Mwantumu Dossi akitembelea mradi wa shamba la mahindi unaoendeshwa na taasisi ya Gola Foundation jana katika kituo cha Kufikia watoto wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. ZITTO KABWE: JANUARY MAKAMBA ASHINDWA KUTAMKA MIIKO YA VIONGOZI

 Mheshimiwa Zitto Kabwe amefunguka katika ukurasa wake wa Facebook na kumponda mbunge wa Bumbuli, Mheshimiwa January Makamba, kutokana na hotuba yake aliyoisoma jana katika Ukumbi wa Mlimani City...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STARS YAENDELEA KUJIFUA ADDIS ABABA

Wachezaji wa Stars wakiwa katika mazoezi kwenye uwanja wa Benki ya Biashara ya Ethiopia jana ya kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Misri. (Picha na TFF) Golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa...

View Article

Wandishi; Kauli za Watia Nia, Zisipuuzwe; Zifuatilieni!

‘Tembo hashindwi na Mkonga wake’Na Bryceson MathiasWASWAHILI wanasema, ‘Tembo hashindwi na Mkonga wake’; Hivyo, ni Imani yangu,  Wandishi wa nchi hii, hawawezi kushindwaa, ‘Kuwahabarisha Watanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MEMBE APATA WADHAMINI ZAIDI YA 800 KATIKA MIKOA YA LINDI NA MTWARA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, waliofika kwenye Ofisi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARSHA KATIKA HOTEL YA GOLD CREST JIJINI MWANZA

Mgeni Rasmi Bw. Ibrahim D. Kalengo, Mtakwimu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ambae anamwakilisha Katibu Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, akitoa neno la ufunguzi kwa ajili ya warsha hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO KATI YA TFF, SIMBA SC, SPUTANZA NA MCHEZAJI SINGANO

 Ramadhani Singano 'Messi' akitoka katika Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kikao cha Simba na TFF kuhusu utata wa mkataba wake na Simba. Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestin...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMBE APATA BARAKA ZA WATUMISHI WA MUNGU KUGOMBEA URAIS WA TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na viongozi wa dini ya kiislam wa Mtwara mjini jana jioni, wakati wa dua maalum iliyoandaliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BOA YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA UENDELEZAJI ARDHI YA AVIC

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Masia Mushi, akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa pamoja na Kampuni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YAIBUKA KIDEDEA KAMA MWAJIRI BORA WA NSSF KWA MWAKA 2015

Meneja Kiongozi wa NSSF mkoa wa Temeke, Chedrick Komba (kulia), Ofisa Mwandamizi wa Matekelezo NSSF mkoa wa Temeke na Ofisa Mateelezo wa eneo la TBL, Sunday Mziray muda mfupi kabla ya kutoa tuzo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI BERNARD MEMBE APOKELEWA KWA KISHINDO MBEYA NA KUPATA WADHAMINI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MEMBE APATA WADHAMINI 800 MBEYA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na  Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  na wananchi waliofika kumpokea nje ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHRISTINA AMEREMEKA KATIKA KITCHEN PARTY

Christina Liwembe akimlisha keki dada yake Elizabeth Liwembi wakati wa sherehe  ya Kitchen Party yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa mango gurden jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Christina Liwembe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI DKT. DIODORUS BUBERWA MGENI RASMI KATIKA UTOWAJI WA ZAWADI KWA...

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dr. Diodorus Buberwa akizungumza wakati wa sherehe hiyo.Meza Kuu, kuanzia kushoto ni Mratibu Mkuu wa FASDO nchini, Joyce Msigwa,  Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,...

View Article

MEYA MWANZA KUFUNGA U13 KESHO

Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza Stanslaus Mabula kesho jumamosi atafunga rasmi mashindano ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 13.Sherehe ya kufunga mashindano hayo itafanyika katika uwanja wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YAFANIKISHA SIKU YA SHAYIRI MONDULI

 Meneja Mradi wa Kilimo cha Shayiri TBL Dk. Basson Bennie akitoa elimu kwa wakulima na wadau mbalimbali namna sahihi ya kuandaa, kupanda zao la Shayiri wakati wa Siku ya Mkulima wa Shayiri iliyofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TTCL Yakabidhi Mradi wa Huduma za Mawasiliano TBL

Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota kulia akizungumza wakati wa makabidhiano ya mradi wa kuyaunga kimawasiliano ya kisasa matawi ya kampuni ya bia Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA LA IDADI YA WATU (UNFPA) TANZANIA KWA...

Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) Tanzania kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango, wameandaa warsha kwa ajili ya kuhamasisha na kuwajengea uwezo watumishi wa Mkoa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSUVA MCHEZAJI BORA LIGI KUU 2014-2015

Baba mzazi wa Simon Msuva, Mzee Happygod Msuva (katikati) akiinua tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu (VPL 2014-2015) kwa niaba ya mwanawe. Kulia ni Mama Msuva, Susan Happygod na kushoto mgeni rasmi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AZIDI KUVUNJA REKODI YA WADHAMINI, APATA 9516 MKOANI TABORA LEO

Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono maelfu ya wana CCM waliofika kumdhamini pamoja na wananchi wengine, kwenye viwanja vya ofisi za CCM Tabora...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>