Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NYALANDU KUCHUKUA FOMU ZA URAIS JUNI 7 MJINI DODOMA

Waziri wa mali asili  na utalii Lazaro Nyarandu na waumini mbalimbali baada ya Ibada ya jumapili Jijini Arusha katika Kanisa la KKKT  Diyoyosis ya Mjini Kati ambapo Waziri Nyarandu alitumia nafasi hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEMBE-WAPIMENI WASAKA KITI CHA URAIS

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa, Bernard Membe akimkabidhi tuzo ya heshima ya kujitolea kwa ajili ya madrasa hapa Tanzania, hajjat Tatu Kazuga wakati wa tamasha la kwanza la Qaswida...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBIO ZA URAIS ZASHIKA KASI, MWIGULU, WASIRA WATANGAZA NIA

Watu wa kada mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Mwigulu Nchemba wakati akitangaza nia katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere mjini Dodoma leo. Mwigulu Nchemba akitoa hotuba yake wakati akitangaza nia katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE...

 Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa kituo cha radio ya EFM 93.7 kwa pamoja wakikata keki kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kituo hicho ambacho kwa sasa kinakuja kwa kasi jijini Dar na kwingineko,hafla...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA MAKUSANYO UJENZI YA MSIKITI

Kwa Jina la M/Mungu nina anza Andika , Nawashukuru Ndugu zangu WA TANZANIA ,KENYA na wasio kuwa hao kwa Upamoja wao wa Michango yao ya hali na Mali katika Kuimarisha UJENZI WA MSIKITI UNAONA KATIKA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA WAKATI MH. LOWASSA ALIPOKUWA AKIELEKEA KWENYE...

 Sehemu ya Waendesha Bodaboda wa Jijini Arusha wakiusubiria msafara wa Mh. Lowassa, maeneo ya Uwanja wa Ndege wa Arusha.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI Wadau wakichukua taswira ya Mh. Lowassa wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPENI YA UELEWA KUHUSU TATIZO LA USONJI YAZINDULIWA JIJINI DAR

 Mkurugenzi Mtendaji wa Lotus Clinic, Dialla Kassam (katikati), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati wa uzinduzi wa kampeni maalum ya kueneza uelewa kuhusu tatizo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA MAGAVANA WA NCHI ZA AFRIKA WAFANYIKA IVORYCOAST

  Gavana wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katika Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dk. Servicus B. Likwelile ambaye pia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali akiteta jambo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA UTT-PID CHINI YA WIZARA YA FEDHA YAPANUA BARABARA ENEO LA MRADI WA...

 Muonekano wa viwanja vya Mabano vilivyopimwa na Taasisi ya UTT-PID kwa ushirikiano na Halmashauri vilivyopo Manispaa ya Lindi.Baada ya kupima na kufanikiwa kuuza viwanja zaidi ya 2,500 katika fukwe za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50...

Hizi ni miongoni mwa nyumba 50 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC katika mtaa wa Bukondamoyo kata ya Mhungula katika halmashauri ya Mji Kahama mkoani Shinyanga. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI ANTONY BAHATI KUZIKWA LEO MAKABURI YA KINONDONI

 Baadhi ya waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Jaji mstaafu, Antony Bahati nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mazishi ya jaji Bahati yatafanyika leo Juni 2 katika makaburi ya Kinondoni. (Picha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NYALANDU AZINDUA KITUO CHA KUTUNZIA TEMBO WALIOTELEKEZWA

 WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akikata utepe kuzindua makazi maalumu yatakayotumika kutunza tembo wadogo ambao wametelekezwa baada ya wazazi wao kuuawa na majangili. Kituo hicho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUSUNGU AKARIBISHWA RASMI JANGWANI

 Meneja wa Yanga ,Hafidh Saleh (kushoto) akikabidhiwa jezi namba 6 mshambuliaji  mpya wa timu hiyo, Malimi Busungu wakati wa utambulisho uliofanyika Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROFESA MUHONGO NA MBIO ZA URAIS, KUTANGAZA NIA LEO MJINI MUSOMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

18 KUPATIKANA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 MCHUJO WAANZA RASMI...

Muwakilishi wa Mgeni Rasmi Mkurugenzi Mtendaji wa TBS Joseph Masikitiko  katika Hafla ya maamuzi ya fomu za shindano la mamashujaa wa Chakula Bi. Stella E. Mrosso wa kwanza kushoto, wa pili kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUDUMA YA GOOD NEWS FOR ALL MINISTRY YAOMBA KUWEPO MJADALA WA WAZI KUJADILI...

  Askofu Charles Gadi wa Huduma ya Good News for All Ministry (kulia), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kuongezeka kwa joto duniani na athari zake pamoja na tatizo la ulevi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONYESHO YA TAASISI ZA KIFEDHA YA PESA EXPO KUFANYIKA MWEZI SEPTEMBA

Raymond Mhenge Mtaalam wa Biashara za Kimataifa wa Kampuni ya PESAEXPO akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Kebbys Mwenge jijini Dar es salaam wakati alipoelezea kuhusu maonyesho hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA KWANZA LA WANAWAKE WAFANYABIASHARA SOKONI TANZANIA LAFANYIKA...

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Equality for  Growth (EfG), JaneMagigita akizungumza na waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo Dar es salaam leo.Ofisa Programu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KIJIJI CHA MAGOZA, MKURANGA

 Ofisa Elimu Wilaya ya Mkuranga, aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya hiyo,  Benjamin Majoya akikata utepe kuzindua rasmi kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Filamu ya MPANGO MBAYA kuzinduliwa ndani ya Ukumbi wa Mlimani City

MPANGO MBAYA ni filamu iliyochezwa na washiriki 10 waliofanikiwa kuingia katika Fainali ya shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) msimu wa kwanza 2014 na kushirikisha baadhi ya waigizaji mahiri...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>