YANGA HATARI YAZIDI KUJICHIMBIA KILELENI, YAICHAPA JKT RUVU 3-1
 Simon Msuva (kushoto) akimkumbatia Mrisho Ngasa huku Danny Mrwanda. Kulia ni Danny Mrwanda baada ya kuifungia kimu yake bao la tatu ambapo Yanga ilishinda 3-1. (Picha zote na Francis Dande)...
View ArticleMrithi wa Zitto ziarani Afrika Kusini
Na Mwandishi Wetu, Afrika KusiniMWENYEKITI mpya wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Amina Mwidau, ameongoza wajumbe wa kamati hiyo kwa kufanya ziara nchini ya Afrika Kusini.Wakiwa nchini...
View ArticleMakamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua Ushirika wa...
 Wanaushirika wa Jitihada Njema wa Bandarini Zanzibar wakiserebuka na ngoma ya Utamaduni ya Kibati wakati wa uzinduzi wa Ushirika wao katika ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.Baadhi...
View ArticleECASSA YAIKUTANISHA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII YA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI NA...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NSSF Tanzania, Abubakar Rajab, akitoa mada katika warsha juu ya uendeshaji wa bodi za mifuko ya hifadhi ya jamii iliyoandaliwa na Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya...
View ArticleRAIS KAGAME AZINDUA TRENI YA MIZOGO
 Rais Paul Kagame akisalimiana na viongozi wakuu wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wakati alipofika katika Stesheni ya Dar es Salaam kuindua Treni ya Mizigo ya kwenda Rwanda. (Picha na Francis Dande)...
View ArticleKitabu cha Dira na Tumaini Jipya Handeni
Mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la Bingwa, Dimba na Mtanzania kutoka Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Sharifa Mmasi pichani akisoma kitabu cha Dira na Tumaini Jipya Handeni kilichoandikwa na...
View ArticleWilliam Lukuvi aanza ziara mkoani Rukwa
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Injinia Stella Manyanya alipowasili uwanja wa ndege wa Sumbawanga kuanza ziara ya...
View ArticleMEMBE MGENI RASMI TAMASHA LA PASAKA
Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akifafanua jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam jana (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya tamasha hilo litakalofanyika Aprili 5, ambapo...
View ArticleTAIFA STARS 1 vs 1 MALAWI, SAMATTA AIOKOA STARS CCM KIRUMBA MWANZA
Viongozi mbalimbali waliojitokeza katika Mpambano huo wa Taifa Stars na Malawi CCM Kirumba Jijini Mwanza. (Picha na Faustine Ruta)Timu zote mbili kwenye mstari tayari kwa kuanza kiputeKikosi cha Malawi...
View ArticleBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA MILIONI 20 UJENZI WA KANISA LA KKKT USHARIKA WA...
 Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Matosa Kimara jijini Dar es Salaam, Rabisante Lema akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles...
View ArticleUZINDUZI WA CHAMA CHA ACT KATIKA PICHA
Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT), Zitto Kabwe akitabasamu wakati wa uzinduzi wa chama hicho uliofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Wa...
View ArticleMAHAFALI YA PILI YA PROGRAM YA HAKI ZA BINADAMU UKANDA WA AFRIKA MASHARIKI...
 Rais wa Foundation For Civil Society, Dk. Stigmata Tenga akitoa hotuba yake wakati wa mahafali ya pili ya Program ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki yaliyofanyika katika Chuo cha Bagamoyo (UB)...
View ArticleUkatili wa Mwekezaji Mtibwa wawapeleka, Wafanyakazi kwa Waziri Mkuu
Na Bryceson MathiasUNAODAIWA ni Ukatili wa Mwekezaji wa Kiwanda cha Sukari Mtibwa Morogoro, umewakasirisha Wafanyakazi wa Kiwanda hicho na kuwasababishia leo watinge bungeni Dodoma kwa Waziri Mkuu,...
View ArticleASKOFU GWAJIMA APATA DHAMANA
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima akiingizwa katika gari wakati akitoka katika hospitali ya TMJ na kupelekwa Kituo cha Polisi Oysterbay kwa ajili ya kupewa dhamana ambapo alitakiwa...
View ArticleWaumini waunga mkono maaskofu kumjibu Rais Kikwete
Na Bryceson Mathias, Dodoma WAUMINI wengi wa madhehebu ya Kikristo waliohojiwa kwa nyakati tofauti mkoani Dodoma wameunga mkono hatua ya maaskofu kumjibu Rais Jakaya Kikwete kutokana na kusema tamko la...
View ArticleWAENDESHA BODABODA NA BAJAJ MBEYA KUNUFAIKA NA MIKOPO YA PIKIPIKI NA BAJAJ...
Waendesha bodaboda na Bajaj mkoani Mbeya wakiwa katika mkutano wakati wa hafla ya uzinduzi wa mikopo ya Pikipiki na Bajaji inayotolewa na Kampuniya CRDB Microfinance Services. Hafla hiyo ilifanyika...
View ArticleEAGgroup YASAINI MKATABA WA KIBIASHARA NA SIMBA
Rais wa Simba, Evans Aveva (kushoto) akizungumza wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa miaka mitano wa kibiashara na Kampuni ya EAGgroup jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Ofisa Mtendaji Mkuu...
View ArticleWACHUNGAJI WATAKIWA KUWARUHUSU WAUMINI KUHUDHURIA TAMASHA LA PASAKA
Askofu wa Kanisa la Naioth Gospel  ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Makanisa ya Kipentekoste, David Mwasota akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu maandalizi ya Tamasha...
View ArticleWaimbaji kutoka Uingereza watua kunogesha Tamasha la Pasaka
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakiwasubiri waimbaji wa nyimbo za injili kutoka Uingereza leo. (Picha na Loveness Bernard) Â Baadhi...
View ArticleMh. Lowasaa katika Ibada ya Ijumaa Kuu leo
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwa ameungana na Waumini wengine katika Ibada ya Ijumaa Kuu ya Pasaka iliyofanyika kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
View Article