Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua Ushirika wa Jitihada Njema

$
0
0
 Wanaushirika wa Jitihada Njema wa Bandarini Zanzibar wakiserebuka na ngoma ya Utamaduni  ya Kibati wakati wa uzinduzi wa Ushirika wao  katika ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wanaushirika wa Jaitihada Njema wa Bandarini Malindi wakifuatia Hotoba ya uzinduzi wa ushirika wao iliyotolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif hayupo pichani kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohammed Shein.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi Ushirika wa Jitihada Njema wa Bandarini Malindi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein.
Balozi Seif Ali Iddi aliyepo kati kati waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Shirika la Bandari, Bodi ya Shirika pamoja na Ushirika wa Jitihada Njema mara baada ya kuuzindua rasmi ushirika huo hapo katika ukumbi wa Salama Hoteli ya Bwawani Mjini Zanzibar.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>