Viongozi mbalimbali waliojitokeza katika Mpambano huo wa Taifa Stars na Malawi CCM Kirumba Jijini Mwanza. (Picha na Faustine Ruta)
Timu zote mbili kwenye mstari tayari kwa kuanza kipute
Kikosi cha Malawi baada wimbo wao wa Taifa kumalizika kuimbwa.
Kikosi cha Taifa Stars kikiimba wimbo wa Taifa
Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza
Waamuzi wa mchezo huo.
Kikosi cha Malawi.
Manahodha wa timu zote wakibadilishana bendera.
Mchezaji wa Malawi akimiliki mpira
Taifa Stars 0-1 Malawi dakika ya 3 mapema Malawi walishachafua ubao
Kipa wa Malawi akiondosha mpira langoni mwake
Pisha!
Fundi!
Kipa wa Malawi akiondosha mpira kwa kuupangua kutoka eneo la hatari
Mashabiki waliingia kwa wingi leo CCM Kirumba
Mashabiki jukwaa kuu
Meza Kuu Rais wa Tff Bw. Jamal Malinzi nae alikuwepo kushuhudia kipute!
Katikati ni Bw. Abdrazack kutoka Mjini Bukoba/Kasibante 88.5 FM Radio akitangaza live mpira huo kutoka CCM Kirumba Jijini Mwanza
Mpaka mapumziko Stars ilikuwa nyuma ya 1-0
Waamuzi wakitoka kwenda kupumzika wakati wa mapumziko dakika chache
Muuaji wa bao la Malawi Essau kanyenda wakati wa mapumziko
Yale yale Ngassa na wenzake wakitoka Uwanjani kwenda kujumuika na kusikia neno kutoka kwa kocha mkuu Mart Nooij nini kinafanyika kipindi cha pili.
Patashika kwenye lango la Malawi kipindi cha pili
Asante baba!! Samatta akipongezwa
Shabiki akifanya mbwembwe zake baada ya Taifa Stars kusawazisha bao1-1
Samatta akipongezwa.
Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars wakipongezana.