Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

UZINDUZI WA CHAMA CHA ACT KATIKA PICHA

Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT), Zitto Kabwe akitabasamu wakati wa uzinduzi wa chama hicho uliofanyika kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa ACT, Anastazia Mgwira. (Picha na Loveness Bernard)  
Katibu Mkuu wa chama cha ACT, Samson Mwaigamba (Katikati) akiwa baadhi ya wanachama wa chama hicho.
Wanachama wakiwa katika uzinduzi wa chama hicho.
Kiongozi Mkuu wa Chama cha Alliance For Change and Transparency (ACT), Zitto Kabwe (katikati) akiwa na Mwenyekiti wa chama hicho, AnastaziaMgwira (kushoto).

Mwenyekiti wa chama hicho, AnastaziaMgwira akitoa hotuba yake.
  Zitto Kabwe akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa chama cha ACT.
Salam kwa wanachama.
 Wimbo wa taifa.
Kiongozi Mkuu, Zitto Kabwe akiwa na Mwenyekiti wa chama hicho, chama hicho, AnastaziaMgwira
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Zitto akicheza muziki wakati wa uzinduzi wa chama cha ACT.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>