ZIARA YA MHESHIMIWA WILLIAM LUKUVI LONGIDO ARUSHA
pWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Vangimembe Lukuvi akipewa na Mkurugenzi Mkuu wa NHC maelezo ya uendelezaji wa eneo la Usa-river lililonunuliwa na NHC kwa ajili ya kujenga...
View ArticleTWIGA YAWAPA WATANZANIA MATUMAINI
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Selestine Mwesigwa (kulia) akimkabidhi bendera ya Taifa nahodha wa Twiga Stars, Sophia Mwasikili (kushoto) kwenye ofisi za TFF zilizopo Karume, Ilala...
View ArticleZITTO KUAGA LEO BUNGENI
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akifafanua jambo wakati wa vikao vya bunge la mwaka 2014. Zitto anatarajiwa kuaga Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kutogea misuguano kati yake na...
View ArticleMUSWADA BINAFSI WA KUANZISHWA BARAZA LA VIJANA LA TAIFA KUJADILIWA MACHI 31
HATIMAYE muswada binafsi wa kuanzishwa Baraza la Vijana la Taifa uliyowasilishwa bungeni Oktoba 31, 2013 na Mbunge wa Ubungo John, umepangwa kusomwa kwa mara ya pili na kujadiliwa Machi 31 mwaka huu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KWANZA WA WASHIRIKA MAJENZI YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano mkuu wa kwanza wa Washirika Majenzi ya Kijani wa Afrika Mashariki, uliofanyika...
View ArticleZITTO ANG'ATUKA RASMI CHADEMA
Mheshimiwa Spika, nilijiunga na Bunge lako tukufu mwaka 2005 nikiwa kijana mdogo mwenye malengo ya kupaza sauti ya vijana kwenye masuala yanayohusu nchi yetu na pia kutetea maslahi ya wananchi wa Jimbo...
View ArticleWADAU KAZI YA IMETOSHA MOVEMENT HIYO
Kampuni ya Tanzania Distilleries LTD (TDL),imechangia kiasi cha sh.milioni 10 kwa harakati ya Imetosha inayopiga vita mauaji ya watu wenye Ualbino,ambayo itafanya matembezi ya hisani machi 29 mwaka huu...
View ArticleKINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI ARUSHA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kazi ya kugonga kokoto pamoja na akina mama wajasiriamali katika kata ya Elerai mjini Arusha wakati alipowatembelea na kukagua shughuli zao,...
View ArticleMSAMA AKABIDHI MILIONI MBILI KWA AJILI KUSIDIA MAPAMBANO DHIDI YA MAUAJI YA...
Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akimkabidhi fedha taslimu kiasi cha shilingi milioni moja Mjumbe wa Kamati Kuu Taifa ya Chama cha Albino Tanzania, Mohamed Chanzi kwa ajili kuunga mkono...
View ArticleLOWASSA: MASHEKHE WA BAGAMOYO MMENISHAWISHI KUGOMBEA URAIS 2015
MASHEIKH wapatao 83 kutoka Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani, leo wamemkabidhi kiasi cha shilingi 700,000/- za kuongezea kuchukua fomu ya kuwania urais 2015. Mashekhe hao wakiongozwa na Yusuf Surulu...
View ArticleYANGA YAIPIGA VIRUGU VIWILI TIMU YA MGAMBO SHOOTING
Mshambuliaji wa Yanga Kph Sherman (kuliao), akitafuta mbinu za kumtoka kiungo wa Mgambo Shooting, Novaty Lufunga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkwakwani...
View ArticleMALINZI AWAPONGEZA TWIGA STARS
Rais wa Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini –TFF Bw. Jamal Malinzi ametuma salama za pongezi kwa timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) kwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya timu ya...
View ArticleMtibwa kimenuka tena, Waziri aridhia Wafanyakazi kumgomea Mwekezaji
Na Bryceson Mathias, Mvomero.MAANDAMANO na Migomo Kwa Kiwanda cha Sukari Mtibwa mkoani Morogoro, imekuwa kama ni maisha yao ya kila siku, ambapo pia leo wamemgomea Mwekezaji wa Kiwanda hicho, huku...
View ArticleWENGI WAJITOKEZA KATIKA BANDA LA NSSF LILILOPO KATIKA VIWANJA VYA TCC...
Afisa wa NSSF(Ramadhani Jumbe) akimwandikisha mwanachama mpya katika Banda la NSSF katika wiki ya huduma kwa Wateja NSSF clinic. Meneja Kiongozi wa Idara ya Uhusiano na Huduma Kwa wateja Bi. Eunice...
View ArticleBULEMBO AGEUKWA NA WAJUMBE WAKE SAKATA LA KWENDA KWA LOWASSA
Mjumbe wa Baraza la Wazazi, Taifa na Mbunge wa Korogwe, Steven Ngonyani 'Prof .Maji Marefu' akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma hii leo juu ya tuhuma za yeye kutajwa na mmoja wa wajumbe wa...
View ArticleTPAWU wampasha Waziri; Wadai Mwekezaji Mtibwa amefilisika
Na Bryceson Mathias, Mvomero, MorogoroCHAMA cha Wafanyakazi mashambani na Kilimo Tanzania (TPAWU), wamempasha Naibu Waziri wa Maji, Amosi Makala, wakidai, aiambie Serikali kuwa Mwekezaji wa Kiwanda cha...
View ArticleDiamond Platnumz hazina ya sanaa Tanzania
Na Mwandishi WetuMKOA wa Kigoma ni hazina kubwa ya vipaji hapa nchini Tanzania. Tangu zamani kulishuhudiwa vipaji vingi toka mkoani humo hasa vya wanamichezo na wasanii. Mfano kwa upande wa kandanda...
View ArticleWafanyakazi kumgomea Mwekezaji
Na Bryceson Mathias, MvomeroMAANDAMANO na Migomo Kwa Kiwanda cha Sukari Mtibwa mkoani Morogoro, imekuwa kama ni maisha yao ya kila siku, ambapo pia leo wamemgomea Mwekezaji wa Kiwanda hicho, huku...
View ArticleTGNP YATAKIWA KUBADILISHA MFUMO WA UFUNDISHAJI
NA KENNETH NGELESI, MBEYAWITO umetolewa kwa TGNP Mtandao kubadilisha mfumo wa ufundishaji kwa kutumia picha zinazoonesha ukatili na unyanyasaji kwa wanawake hali ambayo inawafanya kuendelea kuwa...
View Article