BALOZI WA HARAKATI ZA "IMETOSHA!" HENRY MDIMU APELEKA UJUMBE WAKE UWANJA WA...
Na Henry MdimuTangu asubuhi leo nilikuwa busy na awareness za uwanja wa Taifa katika mechi ya watani wa Jadi Yanga na Simba (picha ya pili). Ila jioni hii nilipoangalia simu yangu nikakuta watu...
View ArticleKAMPENI YA MWANAMKE NA UCHUMI YAZINDULIWA MKOA WA PWANI
Mkurugenzi wa Kampuni ya Angels Moment, Naima Malima akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kampeni ya Mwanamke na Uchumi uliofanyika Mkuranga mkoani Pwani. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Abdallah...
View ArticleBENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'Tuma Pesa na...
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei ikiwa kwa ajili ya kumkabidhi rasmi mshindi wa gari aina...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2015 MOROGORO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa kwa furaha alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro Jumapili Machi 8, 2015 kuongoza kilele cha sherehe za Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa kitaifa...
View ArticleSIMBA, YANGA ZAINGIZA MIL 436
Mashabi wa Soka waliohudhuria pambano la Simba na Yanga.xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxMechi iliyowakutanisha Simba na Yanga katika uwanja wa Taifa, imeingiza jumla ya sh. milioni 436,756,000...
View ArticleTANZANIA KUIVAA MISRI IJUMAA BEACH SOCCER
Timu ya Taifa ya Tanzania ya soka la ufukweni (Beach Soccer) inatarajiwa kucheza na timu ya Taifa ya Misri siku ya ijumaa majira ya saa 10 kamili jioni, mchezo utakofanyika katika klabu ya Escape 1...
View ArticleNSSF yang'ara mashindano ya mbio za Kilimanjaro marathon
NSSF yang'ara mashindano ya mbio za Kilimanjaro marathon. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori (wa tatu kulia) akishiriki kwenye mbio za Kilimanjaro. Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF-...
View ArticleUTT-AMIS WALIVYOSHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Wafanyakazi wa UTT-Amis wakiandamana kuelekea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. (Picha na Francis Dande) Mke wa Rais, Salma Kikwete...
View ArticleSITTA ATAKA RIPOTI YA UCHUNGUZI TRL
Waziri wa Uchukuzi Samuel Sitta (katikati) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, muda mfupi baada ya kukutana na watendaji wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL). Kulia ni Naibu Waziri wa...
View ArticleMrembo Miss Tanzania aongoza wakazi wa dar katika zoezi la uchangiaji damu
Mshindi wa tatu wa Miss Tanzania 2014, Doris Mollel akishiriki zoezi la uchangiaji damu katika ikiwa ni sehemu ya kusherehekea Siku ya wanawake Duniani,iliyofanyika Buguruni Chama jijini Dar es Salaam...
View ArticleKILUVYA, MBAO FC, MJI NJOMBE, MJI MKUU ZAPANDA FDL
Timu za Kiluvya United ya Pwani, Mbao FC ya jijini Mwanza, Mji Njombe kutoka mkoa mpya wa Njombe na Mji Mkuu (CDA) ya Dodoma zimepanda Ligi Daraja la Kwanza (FDL) baada ya kuongoza katika misimamo ya...
View ArticleTAMASHA LA PASAKA KUPAMBWA NA MWIMBAJI KUTOKA UINGEREZA
Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, wakati akimtangaza mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Uingereza, Ifiyani Karechi atakayeshiriki...
View ArticleSD MABINGWA MASHINDANO YA NYAMA CHOMA
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Kanda ya Ziwa, Godwin Zacharia (katikati) akimkabidhi kikombe Mpishi Mkuu wa Bar ya SD Exective ya jijini Mwanza, Mussa Mashauri mara baada ya kuibuka mabingwa katika...
View ArticlePOLISI WAMUHOJI DK. SLAA KWA SAA SITA KUHUSIANA NA TUHUMA ZA KUTAKA KUWEKEWA...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa (kulia) akitoka Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam leo huku akiambatana na wanasheria wake, John Mallya (kushoto)...
View ArticleWATAKAOJIUNGA NA KITUO CHA MICHEZO CHA NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY...
1. Walengwa ni Watoto waliozaliwa kuanzia tarehe 01-01-2001 hadi 31-12-2003 2. wawe na cheti halisi cha kuzaliwa na nakala yake 3. Picha mbili za pasipoti zenye rangi ya bluu nyuma 4. Watoto waambatane...
View ArticleGLADNESS MARTIN BRUSH PASIPOTI YAKO NA VITAMBULISHO VINGINE VIMEOKOTWA
BI. GLADNESS MARTIN BRUSH PASIPOTI YAKO NA VITU VYAKO VINGINE AMBAVYO ULIPOTEZA AMA KWA KUDONDOSHA AU KUPORWA POCHI YAKO BASI HATI YAKO HIYO NA VITU VINGINE MBALIMBALI VIMEOKOTWA NA VIPO KATIKA MIKONO...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DK. BILAL AWASILI SHARM EL SHEIKH KUHUDHURIA MKUTANO WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Misri, Ebrahim Mehlep, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa ndege wa Sharm El-...
View ArticleOKWI AIBEBA SIMBA, AITUNGUA MTIBWA SUGAR 1-0
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lililofungwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Emmanuel Okwi (aliyepiga magoti) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliofanyika...
View ArticleMASHINDANO YA NSSF MEDIA CUP 2015 YAFUNGULIWA VIWANJA VYA SIGARA CHANG,OMBE...
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa mashindano ya NSSF Media Cup 2015, yaliyoanza kulindima katika viwanja vya Sigara, Chang'ombe Dar es Salaam leo...
View Article