Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

GLADNESS MARTIN BRUSH PASIPOTI YAKO NA VITAMBULISHO VINGINE VIMEOKOTWA

$
0
0

BI. GLADNESS MARTIN BRUSH PASIPOTI YAKO NA VITU VYAKO VINGINE AMBAVYO ULIPOTEZA AMA KWA KUDONDOSHA AU KUPORWA POCHI YAKO BASI HATI YAKO HIYO NA VITU VINGINE MBALIMBALI VIMEOKOTWA NA VIPO KATIKA MIKONO SALAMA.

YEYOTE ANAE MFAHAMU MHUSIKA AFIKE OFISI YA MTENDAJI KATA-TABATA MSIMBAZI SOKONI, ATAKABIDHIWA. 

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0713624583 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>