Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Membe akutana kwa mazungumzo na Balozi wa China hapa nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), akizungumza na Balozi wa China nchini Mhe. Lu Youqing alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo  ya kuimarisha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri akutana na mgombea uenyekiti wa IPCC na Balozi wa Comoro nchini

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungumza na Mgombea wa nafasi ya Uenyekiti kwenye Kundi la Wataalam chini ya Umoja wa Mataifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEREKETI NDANI YA TAMASHA LA PASAKA DAR

Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama (kulia) akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusiana na maandalizi ya tamasha hilo litakalofanyika Aprili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AWASILI DODOMA NA KUANZA ZIARA...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitokea mkoani Ruvuma ambako alihudhuria mazishi ya Kada wa CCM na Mbunge wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUA KUBWA YAUA WATU 38 KAHAMA

 Mifugo ikiwa imekufa kufuatia mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha Kahama mkoani Shinyanga.   Mabaki ya nyumba zilizochukuliwa na mafuriko Wilayani Kahama. Mabaki ya nyumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO CHA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CFAO MOTORS WAIFIKISHA KWA MARA YA KWANZA MERCEDECE BENZ GCL CLAA JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa kampuni ya kuagiza,kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts,  Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo ya uwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya mercedece benz kutoka kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chadema Kilosa wamjia juu Pinda

Na Bryceson Mathias, MorogoroCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemjia juu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kikidai, Mauaji na Maafa ya Wakulima na Wafugaji, Mbigili na Mabwegere, yametokana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA USHAURI SUMATRA LAZINDUA VILABU VYA WANAFUNZI

 Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la watumiaji wa Huduma za Usafiri wa nchi Kavu na Majini (SUMATRA CCC), Ayoob Omary akizindua vilabu vya wanafunzi vya Sumatra. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa baraza...

View Article


BAADA YA MAOMBOLEZO YA MSIBA WA KAPTENI KOMBA ZIARA ZA KINANA KUENDELEA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WAMTEMBELEA BALOZI MSTAAFU MUSTAFA NYANG'ANYI WASHINGTON DC

Mkurugenzi na mmiliki wa kampuni urban and rular engineering ndugu Awadh Zuberi ,pamoja na wasaidizi wake walipomtembelea balozi mstaafu Mustafa nyang'anyi nyumbani kwake Washington, kuanzia kushoto ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mh. Lowasaa akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchin

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya nchi za Nje,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mh. Dianna Melrose aliyefika ofisini kwake leo kwa mazungumzo. Mwenyekiti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA PILI WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII

Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waandishi wa habari mara baada kufungua Mkutano Mkuu wa Pili wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mratibu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALBINO WAVURUGA MKUTANO WAO NA RAIS KIWETE

Mwenyekiti wa Chama cha Maalbino Nchini, Ernest Kimaya (wa pili kulia) akiondolewa baada yakumpiga teke mmoja wa albino, Nuru Chagutu katika Barabara ya Magogoni jirani na Ikulu Dar es Salaam. Baadhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHINA WA TRA ATINGA BARAZA LA MAADILI KUHUSU MGAO WA FEDHA ZA ESCROW

 Naibu Kamishna Upelelezi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Loicy Appolio, akiwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma jana, ambapo anatuhumiwa kupokea mgawo wa shs. milioni 80.85 kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YATEMBELEA MIRADI YA NSSF

 Spika wa Bunge, Anne Makinda (wa pili kulia) akiongozana na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya (wa pili kushoto) wakikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu zilizopo Mtoni Kijichi jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA JAPAN YAIPATIA MSAADA WA DOLA LAKI 1.4 HALMASHAURI YA WILAYA YA...

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongozana na mwenyeji wake ambaye ni Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga wakati alipowasili nyumbani kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK ahudhuria mkutano wa kujadili miradi iliyoko katika Ukanda wa Kaskazini...

 Mwenyekiti wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kwa furaha  sahada la maua baada ya kuwasili Kigali, Rwanda, tayari kwa mkutano  na viongozi wenzake wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YAANDAA KONGAMANO LA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimpokea mke wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda ambaye alikuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Siku ya Wanawake Dunia lililoandaliwa na Benki ya CRDB...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YAITAFUNA YANGA 1-0

Kikosi cha Simba. kikiwa katika picha ya pamoja. Mashabiki wa Simba wakishangilia bao la Okwi.Kikosi cha Yanga. Wachezaji wa Simba wakishangilia bao pekee la ushindi la timu yao lililofungwa na...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>