Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

OKWI AIBEBA SIMBA, AITUNGUA MTIBWA SUGAR 1-0

$
0
0
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lililofungwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Emmanuel Okwi (aliyepiga magoti) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sugar uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>