Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

UTT-AMIS WALIVYOSHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

$
0
0

Wafanyakazi wa UTT-Amis wakiandamana kuelekea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. (Picha na Francis Dande)
 Mke wa Rais, Salma Kikwete akiwapungia mkono waandamanaji wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

Wafanyakazi wa UTT-Amis wakiwa wamepozi kwa picha kabla ya maadamano.

Wafanyakazi wa UTT-Amis wakipita mbele ya mgeni rasmi.

Maandamano yakielekea katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
 Wafanyakazi wa UTT-Amis wakiwa katika picha ya pamoja baada ya maandamano.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>