Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI WAJIFUNZA JINSI YA KUZALISHA MAZAO KISASA

Mtaalamu katika masuala ya Mbegu kutoka kampuni ya  Seed.co inayojihusisha na kuzalisha begu za mahindi kutoka hapa nchini, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Nzunda kata ya Ntokela Wilayani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bayport yaguswa na mauaji ya albino Tanzania

 Mbunge wa Viti Maalum, Al Shaimar Kweigyir akizungumza na Ester Jonas, aliyelazwa Hospitali ya Bugando aliyejeruhiwa kufuatia tukio la uporwaji wa mtoto wake Yohana Bahati. Kulia kwa Mbunge ni Meneja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YAITAFUNA TANZANIA PRISONS, YAIFUNGA 5-0

 Beki wa Simba, Mohamed Hussein akiwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Beki wa Tanzania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAPTENI JOHN KOMBA AFARIKI DUNIA, WANANCHI WAMLILIA

 Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba (pichani) amefariki dunia katika Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam.Mpaka kifo chake Kapteni John Komba alikuwa...

View Article

ZAWADI YA KOMBA KWA CCM 2015

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSIBA kWA KOMBA

 Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba aliyefariki jioni ya tarehe 28 februari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Buriani Kapteni John Komba

Lowasa akitita jambo na mtoto wa marehemu John Komba, Andrew Komba. (Picha na Francis Dande) Mbunge wa Sengerema William Ngeleja akiwa na Mbunge wa Monduli Edward Lowassa wakiwa katika msiba wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHURU FM 95.7 FM WAFANYA BONGE LA PATI KUUKARIBISHA MWAKA MPYA

Wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi wakiongozwa na Dj Fast Edie (kushoto) wakishow love wakati wa tafrija yao ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika Februari 27, 2015 katika ukumbi wa Tukuyu...

View Article


MEMBE ASEMA KOMBA ALIKUWA SHUHUDA KWENYE MGOGORO WA MIPAKA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LEO NI SIKU YA KUZALIWA YA MDAU OTHMAN MICHUZI

Napenda Kuchukua Fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na Mwenye Kurehemu kwa kunijaalia Uhai na afya njema hadi kufikia siku hii ya leo,ambapo ninayo furaha kubwa sana kwa kuongeza namba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB yatoa shukrani Kanisani

Mkurugenzi Mtendaji,wa Benki ya C RDB Dk. Charles Kimei akiambatana na family yake na wafanyakazi wa benki hiyo wamshukuru mungu, kwa kuwafanikisha katika majukumu yao,na kuwalinda katika kipindi chote...

View Article

TFF YATUMA SALAM ZA PONGEZI FMF

Rais wa Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini –TFF Bw. Jamal Malinzi ametuma salama za pongezi kwa Rais Boubacar Diara wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Mali (FMF) kwa kutwaa Ubingwa wa Afrika kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KATIKA KUAGA MWILI WA KAPTENI...

 Askari wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Komba wakati wa kuaga mwili wake katika...

View Article


Ulrich Urio:Tamasha la Pasaka liwakumbuke wanyamapori

Na Mwandishi WetuMENEJA wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Ulrich Urio ametoa wito kwa waandaaji wa Tamasha la Pasaka kuelekeza nguvu zao kupigia kelele wanyama wenye uhitaji maalum wanaomalizwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Omog,Shikanda watimuliwa rasm Azam FC

Aliyekuwa Kocha wa Azam FC, Joseph Omog.NA KOKUJUNA KATAMAKOCHA Mkuu wa Klabu ya Azam FC Joseph Omog na Msaidizi wake Ibrahim Shikanda, wametimuliwa rasm kuinoa timu hiyo kutokana na kushindwa kutimiza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO CHA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tamasha la Pasaka 2015 kuwabeba Free Media

Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Khamis Pembe akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya tamasha hilo. Kushoto ni Mkurugenzi...

View Article


UAMUZI KAMATI YA MASHINDANO

Timu za Ujenzi Rukwa na Volcano FC ya Morogoro zimeshushwa madaraja mawili hadi ligi za wilaya baada ya kushindwa kufika uwanjani kwenye mechi zao za Ligi Daraja la Pili (SDL).Uamuzi huo umefanya na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PAPAA KING MOLEL WA TRIPLE A LTD AIKABIDHI KATA YA KIA PIKIPIKI

Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Triple A LTD na Mfanyabiashara wa Jijini Arusha, Papaa King Mollel (kulia) akimkabidhi pikipiki kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONYESHO YA SIKU YA WANAWAKE YA MKOA WA MOROGORO YAINGIA DOSARI BAADA YA...

  Mkurugenzi wa manispaa ya Morogoro, Bi. Theresia Muhongo akisikiliza maelezo kutoka kwa Haji Sajilo ambaye ni Kiongozi msimamizi wa Mipango wa NGO,s ya MOYODEI wakati alipotembelea kwenye mabanda...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live