Mtaalamu katika masuala ya Mbegu kutoka kampuni ya Seed.co inayojihusisha na kuzalisha begu za mahindi kutoka hapa nchini, akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Nzunda kata ya Ntokela Wilayani Rungwe jinsi ya kuzalisha mazao kwa njia ya kisasa na kitaalamu, nyuma yake ni shamba darasa la mahindi lilianadaliwa na wanafunzi hao yakiwa yamesha komaa. (Picha na Kenneth Ngelesi)
↧