Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

UVCCM MKOA WA LINDI WALAANI MAUAJI YA ALBINO NA KUMPONGEZA RAIS KWA UTEUZI...

Baraza Kuu la Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Lindi chini ya Mwenyekiti wake Ndugu Amir M. Mkalipa, wamefanya kikao cha kikanuni leo tarehe 21 feb 2018, katika ukumbi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI HAWA GHASIA AZINDUWA BODI MPYA YA WADHAMINI YA MFUKO WA PENSHENI WA...

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia akitoa hutuba yake wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ua wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Dar es...

View Article


AISHI NA KINYESI NDANI YA CHUMBA CHAKE KWA MIAKA 2

Na Mwandishi WetuMWALIMU wa Shule ya Sekondari ya Kibasila Gaudensia Abert ameishi na kinyesi, mikojo, mende na funza wa kila aina katika chumba kimoja kwa muda wa miaka miwili.Tukio hilo ambalo...

View Article

MAMA SALMA KIKWETE AHANI MSIBA WA MUASISI WA CCM ZANZIBAR

Na Anna Nkinda–aliyekuwa Pemba  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete amehani  msiba wa muasisi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bibi  Ashura Abeid Faraji aliyefariki  mwishoni mwa mwaka jana katika kijiji cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK APOKEA MSAADA WA VITABU VYA SAYANSI NA HISABATI

Rais Jakaya Jakaya Kikwete akipokea sehemu ya msaada wa vitabu milioni 2.5 vya hisabati na sayansi kutoka kwa balozi wa Marekani, Mark Childress wakati hafla iliyofanyika katika Shule ya Sekondari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Warsha kuhusu Nafasi ya Vyombo vya Habari katika kuzuia ukatili dhidi ya...

Mwandaaji wa Kipindi cha  Walinde Watoto, Kimela Bila akizungumza katika warsha ya siku tatu inayohusu nafasi ya vyombo vya habari katika kuzuia ukatili dhidi ya watoto iliyoandaliwa na Wizara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE APOKEA VITABU VYA HISABATI NA SAYANSI VYA SHULE YA SEKONDARI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam tayari kwa kukagua...

View Article

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TOZO KWENYE SEKTA YA TEHAMA

1.            UTANGULIZIKatika wiki ya pili ya Februari 2015, baadhi ya watoa huduma za mawasiliano ya simu za mkononi walianzisha vifurushi vya mawasiliano na bei na kusabababisha malalamiko kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM NA TIGO WAUNGANA KUTOA HUDUMA BORA ZA KIFEDHA

  Ni kupitia huduma za M-Pesa na  Tigopesa Kutoa huduma bora kwa manufaa ya wateja waoDar es Salaam, 25 February, 2015 Huduma za kutuma na kupokea  fedha na kufanya mihamala mbalimbali ya malipo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE ZA MSINGI MKOANI SINGIDA KUPOKEA VITABU 200

Shule tatu za msingi katika mkoa wa Singida,zitapokea vitabu 200 wiki hii kusaidia katika mchakato wa kuboresha elimu ya shule ya msingi. Vitabu hivi vimetolewa na taasisi isiyo ya kiserikali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE KINYESI CHA MWALIMU CHATEKETEZWA

Mfanyakazi wa Manispaa ya Temeke Kitengo cha Usafishaji, Ramadhani Athuman akiweka dawa katika vyombo alivyokuwa akitumia kuhifadhia kinyesi mwalimu Gaudensia Albert wa Shule ya Sekondari Kibasila...

View Article

TIC:TUNAMILIKI VIWANJA VIWILI

Na Mwandishi WetuKITUO Cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesema kinamiliki viwanja viwili na shamba moja nchini hivyo kama kuna Kiwanja chenye hati ya TIC basi wao hawahusiki.Hayo yamekuja siku chache baada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF. ANNA TIBAIJUKA, ANDREW CHENGE WAHOJIWA NA BARAZA LA MAADILI YA VIONGOZI...

 Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka (kushoto) akiwasili katika ukumbi wa Karimjee kwa ajili ya kuhojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma katika ukumbi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAMA ALIPIA ADA YATIMA DAR

 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na maandalizi ya tamasha hilo ikiwemo kulipia ada wanafunzi...

View Article

TAIFA STARS KUSHIRIKI COSAFA CUP

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imethibitisha kushiriki michuano ya kombe la COSAFA nchini Afrika Kusini kufuatia mwaliko wa Baraza la vyama vya soka Kusini mwa Afrika (COSAFA).Michuano ya...

View Article


PATO LA TAIFA LAONGEZEKA

Na Mwandishi WetuMKURUGENZI wa Takwimu za Uchumi, Morice Oyuke, amesema pato la Tifa katika robo kipndi cha robo ya tatu ya mwaka 2014 limeongezeka kwa kasi ya asilimia 6.8 ikilinanishwa na asilimia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COCA-COLA YAZINDUA UPYA MAJI YA DASANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Coca Cola Kwanza, Basil Gadzios akizungumza wakati wa uzinduzi wa muonekano mpya wa chupa ya maji ya Dasani katika hoteli ya Double Tree jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wageni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BLOGGERS KUKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM LEO KATIKA PATI YA KIHISTORIA

 Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network  na mmiliki wa Blog ya The Habari.com Joachim Mushi (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na waandishi. Kutoka kushoto ni  Mkala Fundikira,Shafiq Mpanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTT YATOA SEMINA YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWENYE MASOKO YA FEDHA KWA WATU WENYE...

Ofisa Masoko Mwandamizi kutoka Kampuni ya Uwekezaji ya UTT, Martha Mashiku akitoa semina kuhusu uwekezaji wa pamoja kwenye Masoko ya fedha. Akizungumza na washiriki wa semina hiyo Mashiku alisema kuwa...

View Article

Article 2

News from SETU Africa Ethiopia in India Exhibition for the first time at Dastkar Nature Bazaar (Basant 2015), New Delhi Under the SETU Africa project, SEWA Bharat with Ruaab SEWA hosted Ethiopian...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>