Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

BENKI YA CRDB yatoa shukrani Kanisani

$
0
0
Mkurugenzi Mtendaji,wa Benki ya C RDB Dk. Charles Kimei akiambatana na family yake na wafanyakazi wa benki hiyo wamshukuru mungu, kwa kuwafanikisha katika majukumu yao,na kuwalinda katika kipindi chote cha mwaka 2014 na kuwafikisha 2015.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (kulia) akibadilishana mawazo na mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Msasani, mchungaji Elgard Metili wakati wa ibada maalum ya kumshukuru mungu kwa ajili ya mafanikio ya Benki ya CRDB katika kipindi cha mwaka 2014. (Na Mpiga Picha Wetu)
Kwaya ya Ukombozi ikitumbuiza wakati wa ibada maalum ya shukruni iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Usharika wa Msasani.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akiwa na mke wake wakiwa katika ibada ya Shukrani kutokana na mafanikio waliyopata katika kipindi cha mwaka 2014.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada ya Shukrani.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti Huduma kwa Wateja
Kwaya ya Ukombozi ikitumbuiza.
Ibada ikiendelea.
Ibada ikiendelea.
Waumini wakiwa Kanisani.
Pokeeni Baraka.
Nawabariki.
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Msasani, mchungaji Elgard Metili akiimba nyimbo za injili. 
Dk. Charles Kimei akisalimia na mtoto kulia ni Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya Philip Alfred. 
Ibada ikiendelea.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakifuatilia ibada ya Shukrani.
Ibada ikiendelea.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa Kanisani.
Kanisani.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika ibada.
Kwaya ya Vijana ikiimba.
Ibada ikiendelea.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei na mke wake wakipokea baraka kutoka kwa mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Msasani, mchungaji Elgard Metili wakati wa ibada maalum ya kumshukuru mungu kwa ajili ya mafanikio ya Benki ya CRDB katika kipindi cha mwaka 2014.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akisalimia na mtoto wakati wa ibada ya shukrani.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>