Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

ARSENAL KUUZA VIFAA VYA MICHEZO KWA NJIA YA MTANDAO KWA MASHABIKI WA TANZANIA

$
0
0
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula (kushoto), Meneja Maendeleo wa Arsenal, Daniel Willey (kulia) na Mkurugenzi wa Maendeleo wa Arsenal, Sam Stone.  (Picha na Francis Dande)
  Meneja Maendeleo wa Arsenal, Daniel Willey akifafanua jambo. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula na Mkurugenzi wa Maendeleo wa Arsenal, Sam Stone 
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi wa Maendeleo wa Arsenal, Sam Stone 
 Mkurugenzi wa Maendeleo wa Arsenal, Sam Stone akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu fursa za kufanya biashara za kuuza vifaa vya michezo vya klabu hiyo kwa njia ya mtandao kwa kushirikiana na makampuni ya Tanzania. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula na Meneja Maendeleo wa Arsenal, Daniel Willey.   

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula akifafanua jambo wakati wa mkutano huo.
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula.
 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAGgroup, Imani Kajula akizungumza na waandishi wa habari.
 Mwandishi wa Habari za Michezo, Zahoro Milanzi akipokea zawadi ya jezi harisi ya klabu ya Arsenal kutoka kwa Meneja Maendeleo wa Arsenal, Daniel Willey. 
Mwandishi wa Habari za Michezo, Zahoro Milanzi akipokea zawadi ya jezi harisi ya klabu ya Arsenal kutoka kwa Meneja Maendeleo wa Arsenal, Daniel Willey. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>