$ 0 0 Msemaji wa Jeshi la Wananchi (JWTZ),Meja Joseph Masanja, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kukanusha taarifa za jeshi kutumia nguvu wananchi eneo la Tondoroni Wilayani Kisarawe mkoani Pwani.