Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

CHADEMA WAWASHUKURU WAKAZI WA MAKOKA, KIBANGU

$
0
0
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa akiwahutubia wakazi Mtaa wa Makoka Kata ya Makuburi wakati wa mkutano wa kuwashukuru wakazi wa mtaa huo baada ya kumalizika kwa ucghaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana. (Picha na Francis Dande)
 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa akiagana na wakazi wa mtaa wa Makoka Kata ya Makuburi jijini Dar es Salaam, baada ya kuhutubia mkutano wa kuwashukuru baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa akiagana na wakazi wa mtaa wa Makoka Kata ya Makuburi jijini Dar es Salaam, baada ya kuhutubia mkutano wa kuwashukuru baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika Desemba mwaka jana.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles