Kaimu Mmkurugenzi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha akimkabidhi zawadi Khamis Mussa baada ya kuibuka mshindi wa kukimbia wakati wa siku ya familia ya wafanyakzi wa mamlaka hiyo iliyofanyika katika hoteli ya kunduchi beach jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania TCAA wakishindana kukimbia kwenye ufukwe wa bahari ya hindi kunduchi beach wakati wa siku ya family Day iliyowahusisha wafanyakazi na familia zao.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania TCAA wakishindana kukimbia kwa kutumia magunia kwenye ufukwe wa bahari ya hindi kunduchi beach ikiwa ni sehemu ya shamlashamla ya family day.
Kaimu Mmkurugenzi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha akishuhudia wafanyakazi wa mamlaka hiyo wakishindana kuvuta kamba wakati wa family Day iliyofanyika katika hoteli ya kunduchi beach jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania wakishindana kusakata kandanda wakati wa family day iliyofanyika Kunduchi Beach Dar es Salaam.
Watoto wa wafanyakazi wa Mamlka ya usafiri wa Anga Tanzania TCAA, wakishindana kukimbia wakati wa siku ya familia ya mamalaka hiyo iliyofanyika kwenye ufukwe wa Kunduch Beach Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Usafiri wa anga Tanzania TCAA wakishindana kukimbia kwenye ufukwe wa bahari ya hindi kunduchi beach ikiwa ni sehemu ya shamlashamla za family day iliyowahusisha wafanyakazi na familia zao.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania (TCAA) wakishindana kuvuta kamba wakati wa family Day iliyofanyika katika hoteli ya kunduchi beach jijini Dar es Salaam.