King'ongo wapanga kuandamana kupinga matokeo ya uchaguzi serikali za mtaa
Na Mwandishi Wetu KUFUATIWA kukerwa na kitendo cha kupokwa kwa ushindi kwa mtu waliyemchagua katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika siku ya Jumapili, wakati wa Mtaa wa...
View ArticleCCM WAMUAGA AMINA IMBO
Baadhi ya wanachama wa CCM waliohudhuria sherehe ya kumuuaga amina imbo. Na Fredy Mgunda, IringaAliyekuwa Katibu wa chama cha mapinduzi wilaya ya iringa vijijini AMINA IMBO ameagwa rasmi kutokana...
View ArticleHOJA ZA MSINGI ZA PROFESA ANNA KAJUMULO TIBAIJUKA KWA NINI HAONI MANTIKI YA...
1. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), inayoongozwa na Zitto Kabwe hakuniita ili kupata nafasi ya kujitetea, kutokana na shutuma ambazo zimekuwa zikielekezwa kwangu, kwamba nilipewa fedha...
View ArticleUCHAGUZI WA MARUDIO WA SERIKALI ZA MITAA KATIKA KATA YA KWEMBE WAVUNJIKA
Askari Polisi wakiondoka na sanduku la kupigia kura baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa King’azi Kata ya Kwembe jijini Dar es Salaam kuvunjika leo kutokana na vurugu zilizowahusisha...
View ArticleAirtel yawapatia kundi la walemavu mtaji na mafunzo ya biashara
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vibanda vya kisasa vya Airtel Money kwa watu wenye ulemavu, wanachama wa Taasisi ya Haki za...
View ArticleRAIS KIKWETE ATENGUA UTEUZI WA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA...
Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono wazee wa mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa akiwasili kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kuzungumza na wazee hao pamoja na sakata la Escrow. (Picha...
View ArticleWateja wa Airtel Money kutuma pesa bure kwa msimu huu wa sikukuu
Wateja kutuma pesa bila kikomo kwenda Airtel bure bila makato yoyoteDar es Salaam, TanzaniaKampuni ya simu za mkononi ya Airtel kwa mara nyingi tena imewazawadia wateja wake wakati wa msimu huu wa...
View ArticleMGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI...
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya huku akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Umoja wa...
View ArticleASKOFU DK. MALASUSA: TAIFA LINAHITAJI VIONGOZI WAAMINIFU NA WAADILIFU
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, Dk. Alex Malasusa akitoa baraka kwa waumina wa kanisa hilo baada ya kumalizika kwa ibada ya Sikukuu ya Krismasi...
View ArticleWATOTO 71 WAZALIWA MKESHA WA KRISMASI
Wazazi wa watoto waliozaliwa katika mkesha wa Sikukuu ya Krismasi katika hospitali ya Temeke jijini Dar es Salaam jana, wakiwa na afya nzuri pamoja na watoto wao. Kutoka kushoto ni Zamda Juma, Hadija...
View ArticleTAMASHA LA TUONANE JANUARY (TUO8JANUARY) LAFANA MJINI MOROGORO
Wasanii wa Hip hop katika anga ya muziki wa Bongofleva,Faridi Kubanda a.k.a Fid Q pamoja na Stamina wakilishambulia jukwaa kwenye tamasha la wazi la Tuo8January,hapo jana katika viwanja vya sabasaba...
View ArticleMnyika azibana Dawasco, Dawasa kero ya maji
Na Mwandishi WetuMBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), amezitaka Mamlaka ya Maji safi na Maji taka (Dawasa), na Kampuni ya Maji safi na Maji taka (Dawasco), Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, kueleza...
View ArticleArticle 9
NYALANDU KUFANYA TAMASFA KUBWA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTIMIZA MIAKA 15 YA UBUNGE WAKEDec 27, 2014*Zaidi ya watu 20,000 kuhudhuriaNa Mwandishi Wetu Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, Desemba...
View ArticleNICKK WA PILI:MSANII NYOTA WA HIP HOP NCHINI,NI MWANAMUZIKI MSOMI,AMESHIRIKI...
Akizungumza katika moja ya fursa ya kijamii nchiniMAFANIKIO siku zote huanza kujengwa na fikra zilizo imara ndicho kitu kinachomfanya Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini kutoka katika kundi la...
View ArticleLIGI KUU YA VODACOM YAINGIA RAUNDI YA 9
Wakati raundi ya nane ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inakamilika leo (Desemba 29 mwaka huu) kwa mechi tatu, ligi hiyo itaingia raundi ya tisa Januari 3 mwakani kwa mechi tano.Coastal Union itacheza na...
View ArticleMAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MKE WA JAJI ANTONY BAHATI
Mwalimu Laurentia Bahati enzi za uhai wake.Kitabu cha kumbukumbu.Waombolezaji wakiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu.Waombolezaji wakiweka saini katika kitabu cha kumbukumbu.Baadhi ya wanafunzi...
View ArticleYANGA YASHINDWA KUITAMBIA AZAM FC, YATOA SARE YA 2-2
Beki wa Azam FC, Pascal Wawa (kushoto) akiwania mpira na mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es...
View ArticleTHE MBONI SHOW YAANZA KUUNGURUMA JANUARY 2 NDANI YA TBC
Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba (wa pili ktoka kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam wakati akitangaza kuanza kwa msimu...
View ArticleBayport yamjaza manoti mwanafunzi wa MUCE
Mratibu wa Bima ya Elimu ya Bayport Tanzania, Ruth Bura kulia, akifafanua jambo wakati wa makabidhiano ya hundi kwa Kennedy Kaupenda (kushoto), Makao Makuu ya Bayport, mapema wiki hii. Mratibu wa Bima...
View Article