Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono wazee wa mkoa wa Dar es Salaam alipokuwa akiwasili kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam kuzungumza na wazee hao pamoja na sakata la Escrow. (Picha na Francis Dande)
Rais Kikwete akizungumza jijini Dar es Salaam leo kuhusu sakata la Escrow.
Rais Jakaya Kikwete akifafanua jambo kuhusu sakata la Escrow.
Viongozi mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete.
Rais Kikwete akitafakari jambo.
Viongozi wa Kamati ya Amani inayounganisha viongozi wa dini zote wakiwa katika ukumbi wa Diamond Jubilee wakifuatilia hotuba ya Rais Kikwete.![]()
Rais Kikwete akizungumza jijini Dar es Salaam leo kuhusu sakata la Escrow.
Rais Jakaya Kikwete akifafanua jambo kuhusu sakata la Escrow.
Viongozi mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete.
Rais Kikwete akitafakari jambo.
Viongozi wa Kamati ya Amani inayounganisha viongozi wa dini zote wakiwa katika ukumbi wa Diamond Jubilee wakifuatilia hotuba ya Rais Kikwete.
Baadhi ya wazee wakifuarahia maamuzi ya Rais Kikwete ya kumfuta kazi Waziri Anna Tibaijuka baada ya kutengua uteuzi wa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka baada ya kukiuka Maadili ya Utumishi wa Umma baada ya kupokea Sh. bilioni 1.6 fedha za Escrow.