Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

CHADEMA WATOA MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU

$
0
0
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya chama hicho iliyokutana juzi juzi. Kulia ni Mkurugenzi wa Bunge na Uchaguzi, John Mrema. (Na Mpiga Picha Wetu)
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya chama hicho iliyokutana juzi juzi. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika na kulia ni Mkurugenzi wa Bunge na Uchaguzi, John Mrema.
Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>