Rais Jakaya Kikwete akiwapungia mkono mamia ya watu waliofurika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo wakati wa maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika.
Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama akikagua gwaride la heshima kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.