KUTOKA BUNGENI LEO
Mbunge wa Temeke CCM,Zuberi Mtemvu,akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ardhi nyumbva na maendeleo ya makazi Bungeni mjini Dodoma,ambako vikao vya bajeti ya Taifa kwa mwaka 2013/14,vinaendelea...
View ArticleSekondari za Kata Mzigo Mpya kwa Wakuu wa Shule
Na Joachim Mushi, Aliyekuwa RomboKUANZISHWA kwa Sekondari za Kata maeneo mbalimbali nchini kulikuwa na matumaini makubwa kwa wananchi. Maeneo mengi uitikio wa wananchi umekuwa mkubwa na shule hizo...
View ArticleMAMIA WAJITOKEZA KUMPOKEA MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI, ABSALOM KIBANDA
Waandishi wa habari na wanaharakati wakisubiri kumpokezi Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Absalom Kibanda. Waandishi wa habari na wanaharakati wakimsubiri kumpokea Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri,...
View ArticleRais Kikwete apanda mti wa Kumbukumbu Yokohama
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na viongozi wa jiji la Yokohama muda mfupi baada ya kupanda mti aina ya Jacaranda kutoka Tanzania katika bustani za jiji hilo leo mchana.Watatu kushoto ni...
View ArticleMAELFU WAJITOKEZA KUPOKEA MWILI WA ALBERT MANGWEA
Lady Jaydee akiwa na Joseph Haule 'Profesa J' wakati wqakisubili mwili wa msanii wa Hip Hpo, marehemu, Albert Mangwea Mwenyekiti wa Kamati ya Mazishi ya msanii Albert Mangwea, Adam Juma akizungumza na...
View ArticleMBIO ZA TABORA MARATHON 2013 ZAZINDULIWA RASMI
Mshauri wa Ufundi wa Tabora Marathon, Tullo Chambo (kushoto), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika uzinduzi wa mbio hizo zinazotarajia kufanyika Juni 22 mjini Tabora. Mkutano huo...
View ArticleKUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO
Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia akichangia mada wakati wa majadala wa bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bungeni mjini Dodoma leo. (Picha na Joseph Senga)Mbunge wa kuteuliwa, James...
View ArticleMWILI WA MANGWEA WAAGWA DAR
Munge wa Kinondoni, Idd Azzan akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa msanii wa Hip Hop, marehemu Albert Mangwea katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Mazishi...
View ArticleGEORGE NA NEMBRIS WAMEREMETA
Hayawi hayawi yamekuwa , Bwana harusi, George Madinda akimvisha pete ya ndoa mke wake Nembris Jackson wakati wa ibada ya ndoa yao ilioyofanyika katika kanisa la Angrican Mt. Batholomea lililopo...
View ArticleTUME YA MABADILIKO YA KATIBA KATIKA UZINDUZI WA RASIMU YA KATIBA MPYA
Makamuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (katikati) na MjumbewaTume...
View ArticleTBL YANG'ARA KILELE SIKU YA MAZINGIRA DAR
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akimkabidhi tuzo Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Doris Malulu baada ya kampuni hiyo kuibuka mshindi wa kwanza kwa kusaidia utunzaji wa...
View ArticleWAFANYAKAZI WA TTCL WAFANYA USAFI KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI
Wafanyakazi wa Kampuni ya simu Tanzania (TTCL), wakifanya usafi wa mazingira katika bustani ya hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam, jirani na MOI ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku...
View ArticleLUNDENGA: MASHINDANO YA MISS TANZANIA HAKUNA RUSHWA YA NGONO
Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga, akizungumza na warembo wanaotarajia kushiriki shindano la Redd's Miss Tanzania, 2013 wakati alipowatembelea kwenye kambi yao ya mazoezi...
View ArticleAmiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Mheshimiwa Jakaya Mrisho...
Kamishina Jenerali wa Magereza CGP John C. Minja Akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa na maaskari wa Jeshi la Magereza kwa ajili yake mara baada ya kuwasili katika viwanja hivyo kwa ajili ya...
View ArticleMALI ZA SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA ZAKAMATWA NA DALALI WA MAHAKAMA
Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya Udalali ya Flamingo, Nyalila Noel akipandika hati ya mahakama katika basi la Shirikisho la soka Tanzania (TFF), ambayo inaruhusu kukamatwa kwa mali za shirikisho hilo....
View ArticleDK. ASHA-ROSE MIGIRO APOKEA UJUMBE WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA VIETNAM
Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu na Mwenyekiti wa Uhusiano wa Kimataifa wa Chama Cha Kimomunisti Cha Viatnam (CPV), Hoang Binh...
View ArticleRAIS KIKWETE AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI SINGAPORE.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore. Rais Jakaya Mrisho...
View ArticleVIWANJA VINAUZWA JIJINI MWANZA
Viwanja vinauzwa, Malimbe,Sweya Jijini Mwanza umbali wa Nusu Kilomita kutoka SAUT University. Vipo ziwani (ziwa Victoria) ni low Density, viwanja hivyo ni namba 95 na 96 kama vinavyoonyeshwa katika...
View Article