Nchi hii,Watuhumiwa Waharifu Wanapongezwa?
Na Bryceson MathiasKATIKA Serikali ya aina yoyote duniani, Jamii, Madhehebu ya Dini, Asasi za Kiraia na Vyombo mbalimbali vya kutetea Haki za binadamu, hakuna anayeweza kumpongeza au kumtunuku mtu...
View ArticleHakimu kukosekana kwa sababu nyepesi, hatua gani zichukuliwe?
Na Bryceson Mathias KUMEKUWEPO na wimbi la baadhi ya Mahakimu, kutokuwepo mahakamani kuhukumu kesi walizopangiwa kwa mfululizo, hivyo kushindwa kuhukumu kesi na kukwamisha mwendelezo wake na watuhumiwa...
View ArticleSerikali yaombeleza kifo cha Mangwea
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO SALAAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKANA NA KIFO CHABW. ALBERT MANGWEA, (Man Ngwair)1/06/2013.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleMKUTANO WA CCM MAKAMBAKO JIONI HII WAFANA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kimama akihutubia mamia ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jioni hii kwenye Uwanja wa michezo mjini Makambako mkoani Njombe. Katibu wa NEC,...
View ArticleALICE ASHINDA TAJI LA REDD'S MISS DAR CITY CENTER
Mshindi wa Redd's Dar City Center, Alice Isack (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Clarah Paul (kulia) na mshindi wa tatu, Fatma Hussein (kushoto). (Picha na Habari Mseto Blog) Miss Tanzania 1999,...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DK. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA JOPO LA WATAFITI WA MASUALA YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Mkutano wa Jopo la Watafiti wa Masuala ya Uchumi Afrika (AERC) kujadili athari...
View ArticleBASATA YAANZA KUYAFANYIA KAZI MAOMBI YA WASANII
NaElizabeth JohnBARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari za Sanaa na Utamaduni (CAJAtz), kesho wanatarajia kuzikutanisha taasisi mbalimbali zinazohusika na...
View ArticleKIBADENI AIUNGA MKONO SERIKALI HOFU YA KUPELEKA TIMU SUDAN
Na Elizabeth JohnLICHA ya serikali kuingiwa na hofu ya kupeleka timu Sudan kushiriki michuano ya Kagame, Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Abdallah Kibadeni amesema anaiunga mkono na ni vema kuangalia hali...
View ArticleWATATU KUIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MASHINDANO YA KUOGELEA
Na Elizabeth JohnCHAMA cha kuogelea Tanzania (TSA) kimechagua wachezaji watatu ambao wanatarajia kuliwakilisha taifa katika mashindano ya Dunia ambayo yanatarajia kuanza kutimua vumbi Julai 18 hadi...
View ArticleCHIKU AISAMBAZA 'SAUTI YAKE'
Na Elizabeth JohnMWANADADA ambaye anatesa katika tasnia ya muziki wa hip hop, Chiku Keto, ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Sauti yangu’ ambao umeanza kufanya vizuri katika vituo...
View ArticleWAKUVWANGA AISAMBAZA ALBAMU YA 'KATO'
Na Elizabeth JohnMSANII kutoka kundi la Orijino Komedi, Isaya Mwakilasa ‘Wakuvwanga’ ameachia albamu yake ya kwanza inayojulikana kwa jina la ‘Kato’ ambayo imeanza kufanya vizuri katika soko la muziki....
View ArticlePresident Kikwete and former Japanese Prime Minister Yoshiro Mori speaks on...
A cross section of the participants to the high level panel on ““Accelerating the Global Fight against Infectious Diseases,” held as TICAD V official side event in Yokohama, Japan this morning claps...
View ArticleSALSHIA ISDORE NDIYE REDD'S MISS GEITA 2013
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Geita 2013, Salshia Isidore (katikati) akiwa mwenye furaha wakati wa kupiga picha ya pamoja na warembo wqenzake Stella Magerezi (kulia) aliyeshika nafasi ya pili na...
View ArticleRais Kikwete akutana na Mwenyekiti wa mambo ya nje wa bunge la Japan
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Nje ya bunge la Japan Mh.Katsyuki Kawai wakati mwenyekiti huyo alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo...
View ArticlePAMBANO LA NSSF MEDIA ALL STARS NA WABUNGE KATIKA PICHA
Wachezaji wa timu ya wanawake ya mpira wa Peter ya Media NSSF All Stars wakikaguliwa kabla ya mpambano na tinu ya Bunge ya mpira wa Peter wakati wa mchezo wa kirafiki uliochezwa katika Uwanja wa...
View ArticleMkulanga yaomba Chadema Iwasaidie
Na Bryceson Mathias , aliyekuwa MkulangaBAADHI ya Wazazi, Walimu na Wananchi walio wengi wa Vikindu, Kisima na Tambaani Wilaya ya Mkulanga, wamekiomba Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) na...
View ArticleMAGUFULI ATAKIWA KUSAFISHA TANROAD
Na Mwandishi WetuWAZIRI wa Ujenzi John Magufuli, ametakiwa kukomesha vitendo vinavyofanywa na baadhi ya watendaji wasiowaaminifu wa Mamlaka ya Barabara Tanzania (TANROADS), vya kuuza maeneo ya hifadhi...
View ArticleMABERE MARANDO AMPIGIA DEBE NGWATA
Na Mwandishi WetuMAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, Mabere Marando, amewaomba wakazi wa Kata ya Mianzini kumchagua Ngwata Saulo, ili akasimamie fedha...
View ArticleNSSF YAENDESHA ZOEZI LA UPIMAJI MACHO KWA WABUNGE
Dk. Yasinta Shobola akimchukuwa vipimo, Mbunge wa Mfindi Kusini(CCM), Mendrad Kigola wakati wa zoezi la kupima afya kwa wabunge lililoendeshwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Viwanja vya...
View ArticleJESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LATOA UFAFANUZI
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA03 Juni, 2013Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) limepata ujumbe kupitia simu za mkononi ambao umesambazwa kwa wananchi mbalimbali ukisadikishwa kuwa...
View Article