Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

$
0
0

Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia akichangia mada wakati wa majadala wa bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bungeni mjini Dodoma leo. (Picha na Joseph Senga)
Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia akionyesha baadhi ya vitabu ambavyo vinamakosa mbalimbali, vinavyotumika kufundishia mashileni, wakati alipokuwa akichangia bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, bungeni mjini Dodoma jana. (Picha na Joseph Senga)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>