Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

MWILI WA MANGWEA WAAGWA DAR

$
0
0

 Munge wa Kinondoni, Idd Azzan akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa msanii wa Hip Hop, marehemu Albert Mangwea katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. Mazishi ya msanii huyo yatafanyika leo mjini Morogoro.
 Diamond akitoa heshima za mwisho.
 Joti akitoa heshima za mwisho.
Baadhi ya waombolezaji. 
 Umati wa watu uliojitokeza kuaga mwili wa Mangwea.
Baadhi ya makada wa CHADEMA. 
 Baadhi ya wanafunzi wakitoa heshima za mwisho.
 Mbunge wa Kinondoni Idd Azzan (kulia) akiwa na baadhi ya waombolezaji.
 Huzuni ilitalawa
Msanii wa Olijino Komedi, Alex Charamila akitoa heshima za mwisho.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>