Mahakama zisigeuzwe Misukule ya kuwatisha Watanzania
Bryceson MathiasPAMOJA na Tume ya Wajumbe wa Rasimu ya Katiba kusahau kuutaja Donda Ndugu na ugonjwa Mkubwa wa nchi hii, wananchi walio wengi wametaka Mhimili wa Mahakama usigeuzwe Msule wa kuwatishia...
View ArticleBenki ya Exim yatunukiwa tuzo ya utunzaji bora wa mazingira mwaka 2013
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki (Kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Anthony Grant (kulia) wakati wa sherehe za kuadhimisha Siku ya Mazingira Duniani katika...
View ArticleUVUNJAJI WA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
Mwendesha Bajaj akivunja sheria za usalama barabarani kwa kupita katika pembeni mwa barabara na kuweza kusababisha ajali kama alivyokutwa katika mtaa wa Shaurimoyo.
View ArticleBENKI YA NMB YAFADHILI MAONYESHO YA UBUNIFU WA WATOTO
Benkiya NMB imefadhili maonyesho ya ubunifu wa watoto waliokusanywa na Tanzania Mitindo House, maonyesho ambayo yatahusisha shughuli mbalimbali za kazi za mikono ambazo watoto wenye vipaji wamekua...
View ArticleAMIN: BAADA YA TUZO ZA KILI NAACHIA NGOMA YANGU MPYA
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka nyumba ya kukuza vipaji Tanzania (THT), Amin Mwinyimkuu ‘Amin’ amesema anasubiri tuzo zitolewe kwa wasanii ambao wameingia kwenye...
View ArticleJOA KASSIM AGEUKIA TASNIA YA FILAMU
Na Elizabeth JohnMWANADADA anayeng’ara katika tasnia ya muziki wa taarabu, Joah Kassim kutoka kundi la T-Moto amesema amegeukia tasnia ya filamu ili kuonesha kipaji chake kwa mashabiki.Akizungumza...
View ArticleCHANETA WAMPATA KATIBU MKUU
Na Elizabeth JohnCHAMA cha Netibali Tanzania (CHANETA), kimemteua Katibu Mkuu wa muda, Dk. Maimuna Mrisha ambaye atafanya kazi kwa mujibu wa katiba ya chama hicho kwa kipindi cha miezi sita.Akizungumza...
View ArticleRAIS AZUNGUMZA NA BALOZI WA OMAN NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi DK. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Yahya Moosa Albakri, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Leo asubuhi kwa...
View ArticleUCHAGUZI MKUU BFT JULAI 7
Na Elizabeth JohnSHIRIKISHO la ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) linatarajia kufanya uchaguzi wake Mkuu Julai 7 mwaka huu jijini Mwanza baada ya viongozi waliopo madarakani kumaliza muda wake.Akizungumza...
View ArticleMASHINDANO YA RIADHA YA TAIFA YAPIGWA KALENDA
Na Mwandishi WetuBAADA ya Zanzibar kujitoa kuwa mwenyeji wa mashindano ya vijana ya riadha ya kanda ‘Eastern Regional Jr Championship’ hatimaye mashindano hayo yamepigwa kalenda hadi Juni 13 mwaka huu...
View ArticleMEZ B: SITAMSAHAU ALBERT MANGWEA
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa kizazi kipya nchini, Moses Bushamaga, amesema hawezi kumsahau msanii mwezie marehemu Albart Mangweha ‘Ngwea’ kutokana na kuwa na ushirikiano mzuri na wenzie...
View ArticleZIJUE JEZI MPYA KWA KLABU ZA LIGI KUU YA ENGLAND 2013/14
LONDON, EnglandWAKATI maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya England 'Barclays Premier League' yakishika kasi, klabu za ligi hiyo ziko katika hekaheka kali na ya aina yake ya kutambulisha jezi mpya za...
View ArticleAFRICA BARIC GOLD WAIFWAGIA FEDHA REDD'S MISS MARA 2013
Ofisa kutoka kitengo cha Mawasiliano na Mahusiano wa Barrick Gold Mining Fatuma Mssumi akimkabidhi Kaimu Ofisa Tawala wa Mkoa wa Mara mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi milioni 10, ikiwa ni...
View ArticleKHADIJA KOPA AFIWA NA MUME WAKE
Baadhi ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Rukwa na Mpanda wakimsindikiza kuapanda ndege msanii wa taarab na malkia wa mipasho Tanzania Khadija Omar kopa kwenye uwanja wa ndege wa mpanda baada ya...
View ArticlePICHA ZA VITABU DHAIFU VYA ELIMU
Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia (NCCR-Mageuzi), akionesha makosa yaliyomo kwenye vitabu vya shule za msingi kwa waandishi wa habari mjini Dodoma. Vitabu hivyo viliidhinishwa na EMAC bila kubaini...
View ArticleWENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA MANGWEA
Mwili ukiwasili katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Umati wa watu wakiwa nje ya Uwanja wa Jamhuri wakati wa kutoa heshima za mwisho. Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akimfariji mama mzazi...
View ArticleMAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA KITUO CHA KUREKEBISHA TABIA KWA WANAWAKE NA...
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa msichana anayetunzwa katika kituo cha watoto wa kike watukutu cha Pertapis kilichoko Singapore...
View ArticleNANI KUMRITHI MISS TANZANIA BRIGIT ALFRED TAJI LA REDD'S MISS SINZA?
Warembo 11 kati ya 12 wanaopanda jukwaani leo kuwania Taji lenye Sifa Kuu mbili ya Redd's Miss Sinza 2013, lakini pia linaloshikiliwa na Redd's Miss Tanzania 2012-2013, Brigit Alfred, leo katika Ukumbi...
View ArticleMil. 16/- za MKUKUTA zahujumiwa Mvomero
Na Mwandishi Wetu, MvomeroMILIONI 16,076, 2240/- za Mpango wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA) zilizogawiwa na Halmashauri ya Mvomero kwa Kata ya Mhonda, zinawapa wehu watendaji...
View ArticleWASHINDI WA SHINDANO LA 'TWITI' WAZO JIPYA KUONDOA UMASIKINI WAPEWA ZAWADI ZAO
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi akifafanua jambo wakati wa hafla ya utoaji zawadi kwa washindi shindano la Twiti Wazo Jipya Kuondoa Umaskini jijini Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji...
View Article