KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MTAMA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na Bernard Membe Mbunge wa jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wakati alipowasili katika Kiwalala Kituo cha Ufugaji cha...
View ArticleAirtel Yaendelea Kusaidia Sekta ya Elimu hapa Nchini, Shule ya Sekondari...
Meneja wa Airtel Simiyu Bw. Ezekiel Nungwi akikabidhi msaada wa vitabu vya sayansi kwa Mkuu wa wilaya ya Bariadi Bw. Erasto SimaMkuu wa wilaya ya Bariad Bw. Erasto Sima akisoma Hotuba katika...
View ArticleMiss Tanzania in London to for Miss World
By Ayoub Mzee-LondonMISS TANZANIA IN LONDON TO FOR MISS WORLDBy Ayoub Mzee-LondonToday Miss Tanzania Happiness Watimanywa, paid a courtesy call to the Tanzania High Commission in...
View ArticleBwawa la Mtera hatalini kutoweka
Wakazi wa Migoli Mtera wakiingia na punda katika bwawa la Mtera ya matumizi nyumbani baada ya kina chake kupungua zaidi. (Picha na Francis Godwin Blog) Wavuvi wa samaki katika bwawa na Mtera...
View ArticleMTERA SHOOTING MABINGWA LUKUVI CUP 2014 KATA YA MIGOLI YAIGAGADUA HOME BOYS...
Wachezaji wa timu ya Mtera wakiendelea kuumiliki mpira katikafainali ya Lukuvi Cup kata ya Migoli Mtera Mabingwa wa Lukuvi Cup timu ya Mtera wakimiliki mpita Mchezaji wa timu ya Home Boys akiwa...
View ArticleSKY MOTO YAWABAMBA WAKAZI WA JIJINI MWANZA NDANI YA JEMBE BEACH
Mkurugenzi Mtendaji wa Skylight Band Dkt. Sebastian Ndege a.k.a JembeniJembe akizungumza na wakazi wa Mwanza kuwakaribisha kwenye show ya SKYMOTO iliyofanyika kwenye hekalu la maraha la Jembe Beach...
View ArticleMDAU ANDREW CHALE KUTOA VITABU VYA MAISHA YAKE
Andrew Chale (kulia) akiteta jambo na 'Mwenyekiti' Maggid Mjengwa wa Mjengwa Blog...Ni vya 'Who Is Andrew Chale', 'Nimnukuu Nani?' na ''Mimi ni Historia',Na Mwandishi WetuMwandishi wa Habari nchini...
View ArticleMDAU ASIA KINJENGA APATA DIGRII YA ELIMU YA JAMII SOSHIOLOJIA CHUO KIKUU CHA...
Asia Kinjenga kulia akiwa na nyuso ya furaha pamoja na mwenzie Felician Francis baada ya kumaliza digrii ya elimu ya jamii katika sosholojia wakati wa mahafali ya 48 ya chuo kikuu cha Dar es salaam...
View ArticleREMEMBRANCE
THE LATE DONAT SAMIKE MASHIKU 1947-2013Baba, God saw you struggling and no cure in this world was there to make you stay, he then decided to call you that day of 20th November 2013. They were days,...
View ArticleWATATU WAKAMATWA NA DOLA FEKI ZA MAREKANI ZENYE THAMANI YA SH. MILIONI 20
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Fresser Kashai akiwaonyesha waandishi wa habari mkoani hapa Dola Feki za kimarekani. Picha na Elizabeth Kilindi, Tanga.Dola feki za Marekani. Na Elizabeth Kilindi,...
View ArticleWAENDESHA BODABODA WALALAMA
WASAFIRISHAJI abiria kwa kutumia bajaji na bodaboda jijini Dar es Salaam, wamelaani kitendo cha serikali cha kuwakamata wanapoingia katika ya jiji kwa madai kuwa ni kinyume cha sheria.Wakizungumza...
View ArticleKATIBA MBOVU CHANZO CHA MIGOGORO YA ARDHI
Na Mwandishi WetuMIGOGORO ya kupigania ardhi kati ya Wakulima na Wafugaji katika maeneo mbalimbali nchini inatokana na Katiba mbovu iliyopo sasa.Kauli hiyo ilitolewa na mmoja wa Wakazi wa Kiteto mkoani...
View ArticleJENGO LAPOROMOKA ZANZIBAR
Wananchi na wapita njia wakishangaa jengo lililoanguka kwenye Mjimkongwe wa Zanzibar eneo la Shangani karibu na maskani ya "JAWS CORNER" jana asubuhi. Hakuna taarifa za vifo wala majeruhi kutokana na...
View ArticleTaswa yawaomboleza Karashani, Munyuku
Na Mwandishi WetuCHAMA cha Waaandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kimepokea kwa masikitiko taarifa za vifo vya waandishi wawili wa habari za michezo na burudani nchini, Inocent Munyuku na...
View ArticleMAALIM SEF AWATAKA MADEREVA KUFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akimjuilia hali mzee Shihab Ahmed ambaye ni miongoni mwa majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea eneo la Kitope, mkoa wa Kaskazini...
View ArticleUkawa wacharuka kashfa ya Escrow
Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma kuhusu hujuma zinazodaiwa kufanywa na Serikali kupitia Bunge, kuzima kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh....
View ArticleTEWUTA YATOA MWITO KAMPUNI YA BHART AIRTEL KUJIONDOA UBIA KATIKA KAMPUNI YA...
Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Huduma za Mtandao wa Huduma za Mawasiliano Tanzania (Tewuta), Junus Ndaro. (Imeandaliwa na mtandao wa www. habari za jamii.com) Katibu Mkuu wa Chama...
View ArticleKINANA ASHIRIKI KILIMO KATIKA SHAMBA LA WANANCHI KIJIJI CHA MKOTOKUYANA...
Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Monduli Juu cha Wakulima wa Shayiri, Barrick Kivuyo akizungumzia mafanikio ambayo wakulima wameweza kuyapata tangu walipoanza kuingia mikataba ya kulima zao hilo...
View Article