Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘Kasisi ampiga Stop Makamba asihubiri msibani’

Na Bryceson Mathias, Chibelela BahiKASISI Ujumla (Vicar General), George Chomola, wa Kanisa la Anglikani Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT) Dodoma, Jumapili Oktoba 12,  katika Kijiji cha Chibelela,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OPARESHENI DELETE CCM YATUA MOROGORO

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Mtibwa katika jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa...

View Article


NKAMIA KUFUNGA MASHINDANO YA CESOPE,TIMU YA DODOMA YAANZA MAANDAIZI KWA...

Na Hamida Ramadhani, Dodoma NAIBU Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo Juma Nkamia anatarajia kufunga mashindano ya CESOPE Cup leo katika uwanja wa Bahi Wilayani Bahi. Akizungumza na Waandishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MAFUTA YA ENGEN YAANDIMISHA MIAKA 21 TANGU KUANZISHWA KWAKE

Wafanyakazi wa Kampuni ya Mafuta ya ENGEN Tanzania leo Novemba 14,2014 wameungana na wafanyakazi wenzao Barani Afrika kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 21 ya kuanzishwa kwa Kampuni hiyo,ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AZINDUA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA NSSF

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Bw. Leonidas Gama, akizungumza na wakazi wa mjini Moshi, baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii. Kushoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAHARIRI VYOMBO VYA HABARI KWA...

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Baadhi ya Wahariri wa Vyombo vya Habari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao nyumbani kwake jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YA KISUTU YAIPIGA TENA TAREHE KESI YA MACHA

Mahakama Kisutu yahairisha tenakesi ya Macha hadi Nov 18Na Mwandishi WetuMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa uamuzi juu ya mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Aingaya Macha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABULRAHMAN KINANA AANZA ZIARA YAKE MKOANI LINDI,...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivalishwa Skafu na vijana na wa Chipukizi wakati alipowasili eneo la Somanga wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi akianza ziara yake ya siku 16 katika mikoa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

OPARESHENI DELETE CCM MOTO CHINI

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia wanachi wa kijiji cha Nyandila kilichopo juu ya milima ya Uruguru mkoani Morogoro, katika mkutano wa hadhara wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WAMZIKA MDAU NASELI JOSHUA DORIYE

 Mwili wa marehemu Naseli Joshua Doriye ukitolewa nyumbani kwao Africana jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza ibada ya mazishi. Jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Nasali.Aliyekuwa Mkuu wa Chuo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAWAKE WA INDIA WATEMBELEA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKURANGA

Mwakilishi wa Wanachama wa Ushirika wa Wanawake waliojiairi wenyewe kutoka India (SEWA), Labhu Thakkar akizungumza katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kuranga wakati walipotembelea vikundi vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MKUU AMJULIA HALI RAIS KIKWETE MAREKANI

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman pamoja na ujumbe wake waliopomtembelea na kumjulia hali Jumapili Novemba 16, 2014 katika hoteli maalumu jirani...

View Article

TFF YAIPONGEZA AFRIKA KUSINI KWA KUFUZU AFCON

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa pongezi kwa Chama cha Mpira wa Miguu Afrika Kusini (SAFA) kufuatia timu yake ya Taifa (Bafana Bafana) kufuzu kucheza fainali zijazo za AFCON nchini...

View Article


VIDEO YA MISS TANZANIA 2O13 HAPPINESS WATIMANYWA ANAYEWAKILISHA KWENYE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OPARESHENI DELETE CCM YATIKISA MORO

 Helikopta inayotumiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika mikutano ya Oparesheni Delete CCM, ikitua kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Uwanja wa Ndege mjini Morogoro...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA AKINA ZITTO YAKABIDHIWA RIPOTI YA CAG

Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia), akiwakabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC),  Zitto Kabwe na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Deo Filikunjombe ripoti ya Uchunguzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA ATINGA JIMBO LA MCHINGA

 Kikundi cha Kwaya kikitumbuiza  wakati wa uzinduzi wa mradi wa maji uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika Kijiji cha Mipingo , Kata ya Namkongo, wakati wa ziara yake katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. SLAA AENDELEA KUTIKISA VIJIJNI OPERESHENI DELETE CCM

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi wa Kijiji cha Ludewa, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro katika mkutano wa Oparesheni Delete...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahakama ya Kisutu yamtia hatiani mfanyabiashara maarufu Macha

Na Mwandishi WetuMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imetoa uamuzi katika kesi inayomkabili mfanyabiashara maarufu jijini Dar es Salaam, Hans Aingaya Macha (pichani) kuwa ana kesi ya kujibu.Uamuzi huo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UWF WAMKUMBUKA ALIYEKUWA MSHINDI WA SHINDANO LA MWANAMAKUKA 2013

Picha  ya pamoja, Baadhi ya wana kikundi cha UWF, mwakilishi kutoka Tanzania Women Bank (TWB), Bi Khadija na Baadhi ya washindi wa mradi huo wa Mwanamakuka tangu mwaka 2012 wakiwa katika picha pamoja....

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>