KINANA KUWA HATUA WALIOVIUA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO NCHINI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaidia kulima shamba kwa kutumia trekta katika shamba la Umoja Rika katika Kijiji cha Mkotokuyama, wakati wa ziara yake wilayani, Nachingwea, Lindi.ya...
View ArticleMkwaja FC mabingwa wapya Mwidau CUP 2014
Na Mwandishi Wetu, PanganiTimu ya soka ya Mkwaja FC imetwaa ubingwa wa kombe la Mwidau CUP mwaka 2014 baada ya kuifunga timu ya soka ya Kiman’ga kwa mabao 4-2 katika mtanange uliipigwa kwenye Uwanja wa...
View ArticleKUTAMBULISHA OFISI ZA TAPSEA
VIONGOZI WAPYA WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA WATAMBULISHA OFISI MPYA ZA CHAMA MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAKATIBU MAHSUSI TANZANIA – TAPSEA ANAWAJULISHA MAKATIBU MAHSUSI WOTE TANZANIA KUWA OFISI...
View ArticleAIRTEL YAMWAGA VITABU VYA MILIONI 15 WILAYANI MAKETE -NJOMBE
Kulia ni Meneja wa Kanda za juu kusini wa Airtel bw, Straton Mushi akikabidhi msaada wa vitabu kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dokta BINILITHI MAHENGE utakaofaidisha jumla ya...
View ArticleTIMU YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YAKAGUA MADARAJA LUHEKEI MKOANI RUVUMA
Meneja wa wakala wa barabara (TANROADS) mkoani Ruvuma, Mhandisi Abraham Kissimbo akizungumza na timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofika ofisini kwake....
View ArticleUWANJA WA NDEGE WA MWANZA WAFANYIWA UKARABATI MAKUBWA
Ndege ya Fastjet ikijongea kwenye maegesho ya ndege ya kiwanja cha ndege cha Mwanza baada ya kutua. Urefushaji wa barabara ya kutua na kuruka ndege unaofanywa na BCEG ya China unaendelea vizuri ambao...
View ArticleKINANA ASHIRIKI KILIMO KATIKA SHAMBA LA WANANCHI KIJIJI CHA MKOTOKUYANA...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Nachingwea Mh. Mathias Chikawe wakati alipowasili katika kijiji cha Nkotokuyana jimbo la Nachingwea katika mwendelezo wa...
View ArticleMASHINDANO YA TAIFA YA U12 YASOGEZWA
Mashindano ya Taifa kwa vijana wenye umri chini ya miaka 12 yanayoshirikisha kombaini za mikoa yote ya Tanzania yatafanyika jijini Mwanza kuanzia Desemba 30 mwaka huu hadi Januari 5 mwakani. Awali...
View ArticleBenki ya Exim yapanda miti na kutoa msaada wa chakula kituo cha wazee Moshi
Meneja wa Benki ya Exim wa Tawi Moshi mkoani Kilimanjaro, Bw. John Ngowi akipanda mti wakati wa zoezi la upandaji miti lililofanyika baada ya benki hiyo kutembelea kituo cha Wazee cha Njoro katika...
View ArticleZOEZI LA UCHUKUAJI NA UREJESHAJI WA FOMU SERIKALI ZA MITAA LASHIKA KASI
Mgombea nafasi ya Mwenyekiti Serikali ya Mtaa, Michael Mgungusi (Chadema), akichukua fomu ya kugombea nafasi hiyo kutoka kwa Ofisa Mtendaji wa mtaa wa Mikoroshini, Msasani, jijini Dar es Salaam,...
View ArticleKUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa Bungeni mjini Dodoma leo wakati wabunge wakichangia kuunga mkono ripoti ya Escrow kuletwa bungeni kujadiliwa.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa ufafanuzi.
View ArticleMKUU WA MKOA MPYA WA DODOMA CHIKU GALAWA AFUNGUA WARSHA YA KUPINGA RUSHWA YA...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Galawa akifafanua jambo wakati alipokuwa akifungua Semina ya siku moja ya kutafuta namna ya kukabiliana na Rashwa mbalimbali ikiwemo ya Ngono kati ya viongozi na watendaji...
View Article“U-20 Coastal Union yapania kutetea Ubingwa wake Kombe la Uhai”
NA MWANDISHI WETU, TANGA TIMU ya Coastal Union ya Vijana U-20 imepania kuhakikisha inatetea taji lake wanalolishikilia la Michuano ya Kombe la Uhai kwa kufanya vizuri katika mashindano hayo ambayo...
View ArticleSKYLIGHT BAND YAENDELEA KULAMBA DUME KWA MASHABIKI WAKE JIJINI DAR NDANI YA...
Majembe ya Skylight Band yakiporomosha burudani kwa mashabiki wake Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mkongwe kwenye muziki wa dansi Joniko Flower...
View ArticleKAMPUNI YA PAN AFRICAN ENERGY YATOA MSAADA WA MIFUKO 1500 YA SARUJI KWA...
Meneja wa Uwajibikaji na Huduma za Jamii wa Kampuni ya uchimbaji wa gesi ya Pan African Energy, Andrew Kashangaki (kwanza kushoto) akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Peter Malekela (kulia)...
View ArticleMAMIA WAMUAGA MWANDISHI WA HABARI WA NEW HABARI 2006 LTD, MAREHEMU INNOCENT...
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa Mwandishi wa Habari za Michezo wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd marehemu Innocent Munyuku wakati wa kuaga mwili katika hospitali ya...
View Article