CHUNGUZEN AFYA YA MACHO-CHAMA CHA MADAKTARI
Na Mwandishi WetuCHAMA cha Madaktari Bingwa wa Macho nchini kimewataka Watanzania kujenga tabia ya kuchunguza afya ya macho ili kuepuka upofu usio walazima. Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam,...
View ArticleKINANA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA CHIFU MKWAWA, KALENGA, IRINGA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiangalia fuvu la aliyekuwa Chifu wa Wahehe, Mkwawa alipotembelea Makumbusho ya shujaa huyo aliyepambana na wajerumani na kujiua kwa bunduki baada ya kuona yupo...
View ArticleTafrija ya Miaka 24 ya Jamhuri ya Muungano wa Ujerumani yafana
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Ujerumaninchini Tanzania, Egon Kochanke (katikati) na mkewe Wendy Marshall Kochanke wakimkaribisha mfanyabiashara mashuhuli Sir Andy Chande katika tafrija ya...
View ArticleTUWAPELEKE WATOTO WETU KATIKA CHANJO YA SURUA NA RUBELLA OKTOBA 18-24
SURUA na rubella ni magonjwa hatari yanayoenezwa haraka kwa njia ya hewa, kutoka kwa mtu mwenye vimelea vya ugonjwa huo kwenda kwa mwingine.Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa dalili za magonjwa haya...
View ArticleKINANA -WILAYA YA MUFINDI
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisisitiza jambo kwenye mkutano mkuu wa CCM jimbo la Mafinga Kaskazini.Baadhi Wajumbe waliohudhuria mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Mafinga Kaskazini...
View ArticleTPB YAZIPIGA TAFU TASWA FC, TASWA QUEEN
Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Noves Moses akikabidhi jezi za mpira wa miguu zenye thamani ya sh. 1.8 kwa Mwenyekiti wa TASWA SC Majuto Omary.
View ArticleShindano la Mashujaa wa Kesho
Vijana katika biashara ya uuzaji samaki. Vijana katika biashara ya uuzaji mapambo mbalimbali. Vijana katika biashara ya uuzaji samaki. Vijana katika biashara ya ukaangaji na uuzaji samaki. Na...
View ArticleMKUTANO WA KINANA MAFINGA
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akiwapungia mkono wananchi wa Mafinga wakati akiwasili kwenye uwanja wa Mashujaa. Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana na Bi.Mwigavillo...
View ArticleUFUNGUZI WA MAADHIMISHO SIKU YA POSTA DUNIANI
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Mkoma, akizungumza katika mkutano huo. Meneja Mawasiliano wa TCRA, Innocent Mungy, akizungumza kwenye hafla hiyo. Katibu Mkuu wa...
View ArticleWizara ya Fedha yakutana na uongozi wa Mfuko wa Changamoto za Milenia 'MCC'
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dk. Servacius Likwelile akifurahia jambo na Mkuu wa mambo ya uchumi wa Mfuko wa changamoto za milenia wakiwa pamoja na Kamishna wa Fedha za...
View ArticleNYOTA WA BENIN WATUA DAR
Kikosi cha wachezaji 18 na viongozi 11 wa timu ya Taifa ya Benin, kimetua jijini Dar es Salaam tayari kwa mechi ya Kalenda ya FIFA dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Jumapili (Oktoba 12 mwaka huu)...
View ArticleWASANII MSIDANGANYIKE-BAVICHA
WASANII wametakiwa kutokubali kuingizwa mkenge kwa kudanganywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa Katiba inayopendekezwa inawatambua.Akizungumza na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mratibu wa...
View ArticleTAKUKURU YATAKA USHIRIKIANO KATIKA KUPAMBANA NA RUSHWA
TAASISI ya Kuzuia, Kupambana na Rushwa (Takukuru), imesema katika kumuenzi Mwalimu Nyerere dhidi ya rushwa, Watanzania wanatakiwa kutoa ushirikiano katika kuwataja baadhi ya watu wanaojihusisha na...
View ArticleKAMPUNI YA MEGATRADE WATENGENEZAJI WA KVANT WANOGESHA TAMASHA LA WAKAZI WA...
Msimamizi Mkuu wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Albet Kingu kushoto akimkabidhi zawadi ya chupa ya Kvant 750ml Ally Yanga wakati wa tamasha lililowakutanisha wakazi wa tabata shule mwishoni mwa wiki...
View ArticleKINANA MUFINDI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa hadhara uliofanyika leo, Oktoba 9, 2014 kwenye Uwanja wa Mashujaa, mjini Mufindi akiwa katika ziara ya...
View ArticleROSE NDAUKA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
Na Mwandishi WetuMSANII mahiri wa filamu nchini, Rose Ndauka (pichani), mwanzoni mwa wiki alimliza mtangazaji Khadija Shaibu, maarufu kwa jina la Dida, wakati wa sherehe za kuazimishja siku ya kuzaliwa...
View ArticleMkutano wa kundi namba 1 la nchi za Afrika- Benki ya Dunia
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akifuatilia kwa makini mkutano wa kundi namba 1 la nchi za Afrika- Benki ya Dunia ambao umefanyika leo hapa...
View ArticleBenki ya CRDB yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja
Meneja wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kushoto) akiwa na Meneja wa tawi la Meru, Loiyce Kapaliswa wakimkabidhi msaada Mwenyekiti wa Kituo cha kusaidia Wazee Arusha, Mzee Ngonyani ikiwa ni sehemu ya...
View Article