Amref Health Africa Tanzania yachangisha sh.bilioni 1.9 kusomesha wakunga ili...
Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilal akihutubia katika hafla ya chakula cha hisani kwa ajili ya kuchangia mfuko wa kampeni ya Jitolee kwa ajili ya akina mama wa Afrika iliyofanyika Oktoba-9-2014...
View ArticleZIARA YA KINANA JIMBO LA MUFINDI KUSINI
Vitalu vya miche ya miti vinavyomilikiwa na Umoja wa Vikundi vya Kijamii wilaya ya Mufindi (UVIKIMU) Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kumwagia maji vitalu vya miche ya miti...
View ArticleNHIF Yawapongeza Viongozi wa Dini kwa kuhamasisha kaya kujiunga na CHF
Meneja Mwandamizi wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) Kanda yaMagharibi – Tabora, Emmanuel Adina akifafanua jambo kwa mwandishi wa habari (hayupo pichani) kuhusu Maonyesho ya Wiki ya Vijana inayofanyika...
View ArticleMapendekezo yawasilishwa kwa uongozi wa Benki ya Dunia
– Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwasilisha mapendekezo yake kwa Bw. Denny H. Kalyalya ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji anayemaliza muda wake wa...
View ArticleTAARIFA YA KAMATI YA UTENDAJI YA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA...
Kikao cha dharura cha Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kimefanyika leo kujadili matukio ya hivi karibuni, hasa mwenendo wa wadau wa Bodi ya Ligi. Shirikisho linatoa...
View ArticleREDD'S MISS TANZANIA NI SITTI MTEMVU
Redd's Miss Tanzania 2014, Sitti Mtemvu akiwa na mshindi wa tatu, Jihan Dimachk (Kushoto) na mshindi wa pili, Lilian Kamazina mara baada ya kutangazwa. Msanii wa Bongo Fleva, Vanesa Mdee akitumbuiza...
View ArticleTIMU YA AMANI YAIIFUNGA TIMU YA MSHIKAMANO 1-0 KATIKA PAMBANO LA VIONGOZI WA...
Wachezaji wa timu za viongozi wa dini wakifanya mazoezi mepesi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kabla ya mchezo maaalum uliowakutanisha viongozi wa dini.Askofu wa Anglikana Jimbo la Dar es...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MEJA JENERALI MSTAAFU MUHIDDIN MFAUME...
Waombolezaji wakiwa wamebeba Jeneza lililobeba mwili wa Marehemu Meja Jenerali mstaafu wa jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) Marehemu Muhiddini Kimario katika makaburi ya manispaa ya Moshi mkoani...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Dkt William Shija alipoongoza shughuli za kuaga leo Jumapili Oktoba 12, 2014 katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es...
View ArticleTAIFA STARS YAIFUNGA BENIN 4-1
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Mart Nooij (kulia) akisalimiana na kocha wa Benin, Didier Olle Nicolle wakati kabla ya kuanza kwa mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini...
View ArticleMsemaji Mkuu TTCL Azinduwa Bonanza la SHIMMUTA Dar
Kikosi cha Kampuni ya TTCL mpira wa miguu kilichoshiriki Bonanza la Shirikisho la Michezo la mashirika ya Umma na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) jana viwanja vya Chuo Kikuu jijini Dar es...
View ArticleWAFANYABIASHARA WALALAMIKIA ZOEZI LA KUWAKAMATA KATIKA MAENEO YAO
BAADHI ya wafanyabiashara wilayani Ilala jijini Dar es Salaam wamemuomba Mkuu wa Mkoa huo Said Meck Sadik (pichani) kuchunguza kama utaratibu wa faini wanazotozwa na polisi wa Kituo cha Msimbazi...
View ArticleMhariri Gazeti la MTANZANIA akabidhi vyeti Shule ya Salma Kikwete
Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania, Khamis Mkotya, akikabidhi cheti kwa mwanafunzi Ahmed Adamu katika mahafali ya tano ya wahitimu wa Kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Salma Kikwete...
View ArticleMAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AFANYA ZIARA KATIKA MIRADI YA UJENZI WA...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Menaja Mradi wa NSSF Mhandisi Karim Mattaka kulia yake na Afisa wa Mfuko huo Bibi Maryam Muhaji wakikagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni...
View ArticleMENEJA UHUSIANO WA TTCL KUZIKWA OKTOBA 16 SAME, KILIMANJARO
Menejimenti ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzao Bw. Amin Elias Mbaga aliyekuwa Meneja Uhusino kilichotokea tarehe 13.10.2014 katika Hospitali ya Regency...
View Article‘Kasisi ampiga Stop Makamba asihubiri msibani’
Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Alhaji Yusuf Makamba akiwa kwenye Msiba wa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Ernest Masima kijijini kwake Chibelela.Na Bryceson Mathias, Chibelela...
View ArticleKIINGILIO MECHI YA YANGA, SIMBA 7,000/-
Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 7,000.Washabiki watakaolipa...
View ArticleMAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI RUVUMA
Kijana wa Umoja wa Vijana wa CCM Mkoani Ruvuma Mustafa Hamad Mlanzi akimfunga skafu Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mara tu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea...
View ArticleMAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATAKA MAZAO YA WAKULIMA YANUNULIWE ILI...
Mbunge wa Jimbo la Peramiho Mh. Jenista Mhagana na wanavikundi vya uchumi wa Kijiji cha Lugagala wakishangilia ujio wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar aliyefanya ziara ya kukagua miradi ya kiuchumi...
View Article