$ 0 0 Meneja Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Noves Moses akikabidhi jezi za mpira wa miguu zenye thamani ya sh. 1.8 kwa Mwenyekiti wa TASWA SC Majuto Omary.