MAPOKEZI MAKUBWA YAMSUBIRI SAKAYA
Na Mwandishi WetuCHAMA Cha Wananchi (CUF), Mkoa wa Tabora kimepanga kufanya maandamano ya kumpokea Naibu Katibu Mkuu Mpya wa Chama hicho Magdalena Sakaya wakati atakapowasili kwa mara ya kwanza mkoani...
View ArticleYANGA YAIPIGISHA KWATA JKT RUVU, YAICHAPA 2-1
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo huo.Jaja akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa JKT Ruvu.Jaja akichuana na beki wa JKT RUVU, Madenge Ramadhani. Jaja akichuana na beki wa JKT RUVU, Madenge...
View ArticleDK. SLAA AITAKA SERIKALI KUBADILISHA MFUMO WA ELIMU
Katibu Mkuu waChama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa akifafanua jambo katika sikukuu ya wahisani ya umoja wa wanafunzi wa kikatoliki (TYCS) iliyofanyika jijini Dar es Salaam...
View ArticleNSSF FURSA SEMINA DODOMA YASHAMIRI SIKU YA IDD EL HAJJ
Ikiwa ni muendelezo wa Semina za Fursa zinazoendelea katika mikoa mbalimbali, licha ya kuwa ni Siku ya Sikukuu ya Idd El Hajj, Fursa Semina ilishamiri mjini Dodoma na kuvutia umati mkubwa wa...
View ArticleWATANZANIA MSIWACHAGUE VIONGOZI MAFISADI-KASESELA
WATANZANIA wametakiwa kuwaadabisha kwa kutowachagua viongozi mafisadi wanaotaka kuingia madarakani kwa kutumia fedha chafu, katika chaguzi zijazo.Kauli hiyo, ilitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Madini...
View ArticleBENKI YA CRDB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA VIONGOZI WA DINI
Na Mwandishi WetuBENKI ya CRDB, imetoa msaada wa vifaa vya michezo kwa timu ya Kamati ya Amani na ushirikiano ikiwa ni maandalizi ya mechi baina ya viongozi wa madhehebu ya dini.Mtanange wa viongozi...
View ArticleRAIS KIKWETE AKAGUA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA NA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Profesa Shaaban Mlacha na Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Idris Kikula (tai nyekundu) alipofanya...
View ArticleTAHLISO WATAKA MIKOPO KWA WOTE
JUMUIYA ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini (Tahliso), imeshangazwa na kauli ya Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Profesa Sylivia Temu, kwamba wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi haiwezi kutekeleza madai ya...
View ArticleKATIBA ILIYOPENDEKEZWA KUKABIDHIWA OKTOBA 08 UWANJA WA JAMHURI MKOANI DODOMA
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dk. Rehema Nchimbi akitoa ufafanuzi kuhusu makabidhiano ya Rasimu ya katiba yatakayofanywa kati ya viongozi wa Bunge maalumu la katiba watakao kabidhi kwa Rais wa Jamhuri ya...
View ArticleNSSF FURSA SEMINA YASHAMIRI SIKU YA IDD EL HAJJ MJINI DODOMA
Ikiwa ni muendelezo wa Semina za Fursa zinazoendelea katika mikoa mbalimbali, licha ya kuwa ni siku ya Sikukuu ya Idd El Hajj tarehe 05/10/2014, Semina ya Fursa yashamiri mjini Dodoma na kuvutia umati...
View ArticleLisu ashambulia jukwaa kwa saa mbili Diamond
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira akikata utepe wakati wa uzinduzi wa album ya nyimbo za injili ya ‘Uko Hapa’ yenye nyimbo 18 ya mwimbaji, John Lisu wakati wa...
View ArticleKINANA APEWA HESHIMA YA CHIFU WA KIHEHE MKWAWA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakiwa katika mkutano wa hadhara katika Kata ya Kalenga, Iringa Vijini, walipoanza ziara ya siku sita...
View ArticleBENKI YA CRDB YAADHIMISHA SIKU YA WATEJA
Naibu Mkurugenzi Mtendaji waBenki ya CRDB anayeshughulika na Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyadhiyay (kulia) akizungumza na wateja waliofika katika tawi la Holland House jijini Dar es...
View ArticleLisu ashambulia jukwaa kwa saa mbili Diamond
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Mahusiano na Uratibu), Stephen Wasira akikata utepe wakati wa uzinduzi wa album ya nyimbo za injili ya ‘Uko Hapa’ yenye nyimbo 18 ya mwimbaji, John Lisu wakati wa...
View ArticleKIINGILIO TAIFA STARS, BENIN 4,000/-
Kiingilio cha mechi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Benin (Squirrels) itakayochezwa Jumapili Oktoba 12 mwaka huu jijini Dar es Salaam ni...
View ArticleMBUNGE WA KAWE AENDA MAHABUSU YA SEGEREA
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) ambaye pia ni mbunge wa Kawe, Halima Mdee akitoka katika Chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kulekea katika Gereza la...
View ArticleMAPOKEZI MAKUBWA YAMSUBIRI SAKAYA
Na Mwandishi WetuCHAMA Cha Wananchi (CUF), Mkoa wa Tabora kimepanga kufanya maandamano ya kumpokea Naibu Katibu Mkuu Mpya wa Chama hicho Magdalena Sakaya wakati atakapowasili kwa mara ya kwanza mkoani...
View ArticleTAMASHA KUBWA LA KARIBU MUSIC FESTIVAL KUFANYIKA BAGAMOYO
Meneja wa tamasha la Karibu Music Festival, Richard Lupia akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Dar es Salaam hii leo juu ya maandalizi ya tamasha hilo. Meneja wa tamasha la Karibu Music...
View ArticleRAIS KIKWETE AKAGUA MIRADI YA UJENZI YA NSSF
Rais Jakaya Kikwete akimsaikiliza Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli wakati alipotembelea daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Miradi ya NSSF, Mhandisi John Msemo,...
View ArticleMFUMUKO WA BEI UMEPUNGUA KWA ASILIAMI 6.7-NBS
Na Mwandishi WetuOFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS),imesema mfumuko wa bei katika kipindi cha Septemba mwaka huu umepungua kutoka asilimia 6.7 hadi 6.6 ikilinganishwa na ilivyokuwa mwezi...
View Article