SSB yaipiga tafu Taswa
Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa habari za michezo (TASWA) Juma Pinto (kulia) akipokea mfano wa hundi ya Tsh.10,000,000 kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kundi la Kampuni za Said Salim Bakheresa (SSB)...
View ArticleSHIRIKA LA NDEGE LA FASTJET LAANZISHA SAFARI MPYA KATI YA DAR ES SALAAM...
Captain Sagar Chavda ambaye ndiye Muongozaji wa Ndege Kutoka Dar es salaam kuelekea Entebe. Jean Uku Commercial Manager akiwa anaongea na wateja wa Fastjet Kushoto ni Jean Uku Commercial Manager wa...
View ArticleNYUMBA ZINAPANGISHWA
Sehemu ya mbele. ENEO: Nyumba ipo PUGU-Umbali wa mita 100 toka Barabara Kuu ya lami. Nyumba 3 za familia zipo ndani ya eneo moja kila moja inajitegemea.UKUBWA: Kila moja...
View ArticleChombo cha India chatua Mars
Wanasayansi wa anga za juu nchini India wanasema kuwa chombo chao cha safari za anga za juu kwa sasa kinazunguka sayari ya Mars.Hii ndiyo mara ya kwanza kwa India kutuma mtambo wake kwenda kwa sayari...
View ArticleTAIFA STARS, BENIN KUCHEZA DAR OKTOBA 12
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inashuka uwanjani Oktoba 12 mwaka huu kuikabili Benin katika mechi ya kirafiki ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).Mechi hiyo...
View ArticleNAIBU WAZIRI NKAMIA AZINDUA LOGO YA REDIO TRIPLE A FM
Naibu Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia akiwa katika picha ya pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya The Blue Triple A Ltd ambayo ni kampuni tanzu ya Radio Triple A FM...
View ArticleZIARA YA KINANA WILAYA YA KILINDI MKOANI TANGA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Kwediboma wakati wa mapokezi.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaslimia wakazi wa Kwediboma wilaya ya Kilindi mkoani...
View ArticleNSSF MKOA WA TEMEKE YAWAPA SEMINA WAAJIRI WAKE KUHUSIANA NA MABORESHO YA...
Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Temeke, Yahya Mhamali akizungumza wakati wa semina iliyoandaliwa na Mkoa wa NSSF Temeke kwa Waajiri wake ambayo ilihudhuriwa na Maofisa Rasirimali Watu pamoja na...
View ArticleWAREMBO MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEAMAKAO MAKUU YA EAC, AICC, AUWSA LEO
Mkuu wa Wilaya ya Arusha mjini, John Mongela akisalimiana na Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, walipomtembelea ofisini kwake jijini Arusha leo. Warembo hao Septemba 27...
View ArticleKINANA ASHIRIKI KILIMO KOROGWE
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akichanyata shamba kwa ajili ya kupanda mpunga, katika eneo la Mradi wa Kilimo Kwanza wa Skimu katika Kijiji cha Mahenge, akiwa katika ziara ya kukagua na...
View ArticleMKUU WA WILAYA MTWARA AFUNGUA WARSHA YA SIKU MBILI YA MASUALA YA MAAFA
Tathmini ya Viatarishi, Uwezekano wa Kuathirika na Uwezo wa Kukabiliana na Maafa (Risk Vulnerability and Capacity Assessment - RVCA) yafanyika Wilayani MtwaraMkuu wa Wilaya ya Mtwara Bw. Wilman Ndile...
View ArticleWARIOBA AFUNGUKA
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akifafanua jambo kuhusu mwenendo wa Bunge la Katiba lilivyochakachua maoni ya wananchi wakati wa hafla ya kutimiza 19 ya...
View ArticleTBL YAFANIKISHA UPIMAJI AFYA ZA MADEREVA WIKI YA NENDA KWA USALAMA
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ambaye ni mkuu wa wilaya ya Mvomero, Anthony Mtaka akikabidhiwa zawadi ya fulana na Mkurugenzi wa uhusiano na sheria wa TBL, Steven Kilindo yenye ujumbe wa wiki ya...
View ArticlePolisi Iringa wakamata Pikipiki, Bunduki
Mnamo tarehe 15/09/2014 majira ya saa 21:00hrs huko maeneo ya mshindo kata ya mshindo Manispaa ya iringa. mtu anayefahamika kwa sura aliiba pikipiki yenye namba za usajili t 610 DAQ...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE VISITS CNN STUDIOS IN NEW YORK
President Jakaya Mrisho Kikwete chats with Cable News Network (CNN) 's Richard Quest and Maggie Lake when he visited CNN Studios at the Time Warner Cente in New York. CNN is an American basic cable...
View ArticleZIARA YA KINANA KOROGWE VIJIJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishona nguo kwenye ofisi ya Veronica Simba (kushoto) iliyopo Mombo Sokoni,kulia ni Mbunge wa Korogwe Vijijini Ndugu Stephen Ngonyani ,Katibu Mkuu alikuwa...
View ArticleNane kushiriki Adnan Kondo Cup
Na Mwandishi WetuTIMU nane za soka Kata ya Upanga Magharibi zinatarajia kuwania kombe la Adnan Kondo Cup, mashindano yanayotarajia kuanza Jumamosi ijayo kwenye uwanja wa Shule ya msingi Muhimbili...
View ArticleCOASTAL UNION YAIPA USHAURI TFF KUHUSU VITENDO VYA KISHIRIKINA VIWANJANI
Na Mwandishi Wetu,TangaKLABU ya Coastal Union imelishauri shirikisho la soka nchini(TFF) kuhakikisha wanakuwa wakali kwenye kidhitibi vitendo vya kishirikina ambavyo vinajitokeza kabla ya kuanza...
View Article