ZIARA YA KINANA CHALINZE
Polisi na Kijana Hamis Gabriel (kushoto) wakimsaidia Mama mwenye ulemavu Halima Salehe, aliyefika kwa nia ya kumuona Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kwenye uzinduzi wa soko jipya la kisasa la...
View ArticleALIKIBA AFUNIKA BLOG YA MKITO.COM
NA ELIZABETH JOHNNYIMBO mbili za nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ally Kiba zimefanikiwa kuongoza kama nyimbo zinazopakuliwa kwa wingi katika tovuti ya Mkito.com. Mkurugenzi wa Mkito Sune...
View ArticleMRADI WA NYUMBA WA DEGE ECO- VILLAGE WAANZA, WANANCHI WACHANGAMKIA FURSA
Mradi wa nyumba unaosimamiwa na kampuni ya Hifadhi inayoitwa Dege Eco-Village umeshiriki maonyesho ya nyumba yaliyofanyika jijini Dar es Salaam inategemea umeanza hivi karibuni.Akiongea na waandishi wa...
View Article'USIKU WA NANI KAMA MAMA' WAPIGA HODI MIKOANI
NA ELIZABETH JOHNBAADA ya kutikisa jiji la Dar es Salaam na shoo yake ya ‘Usiku wa Nani Kama Mama’, msanii wa muziki wa dansi, Christian Bella anatarajia kuanza ziara yake mikoani ili kuwafikishia...
View ArticleRAIS DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mark Childress alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan...
View ArticleMkurugenzi mtendaji Benki ya NBC kuonana na Rais DK.Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara NBC Ms Mzimga Melu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na...
View ArticleSHAMSA FORD SASA KUCHEZA FILAMU ZA KIUHALISIA
NA ELIZABETH JOHNMWANADADA anayetamba katika tasnia ya filamu nchini, Shamsa Ford, amesema ameamua kuanza kufanya filamu zinazogusa maisha ya watu ili kuleta maana kwa wale watazamaji na siyo stori za...
View ArticleTIMBULO: SIO LAZIMA KUFANYA 'COLLABO' NA MSANII WA KIMATAIFA
NA ELIZABETH JOHNMKALI wa nyimbo za hisia Ally Timbulo ‘Timbulo’ anasema haoni haja ya kufanya kazi na wasanii wa kimataifa japokuwa anajiongezea soko katika tasnia hiyo ya muziki.Akizungumza jijini...
View ArticleKAMPUNI YA CANADIAN SOLUTIONS TRADING&CLEANING Est WATAMBULISHA TILES AINA...
Wakurugenzi wa Kampuni ya Canadian Solution Trading&Cleaning Est Kutoka kulia ni Nale Nat Alyalei(Director) akifuatiwa na Mustafa Said,Khadija Naif Alyafa(Chairwoman) na Wa mwisho kushoto Naji...
View ArticleVIONGOZI COASTAL UNION WALALAMA KUHUSU WAANDISHI
Kikosi cha Coastal Unioni ya Tanga.Na Mwandishi WetuKOCHA Mkuu wa Coastal Union, Yusuph Chippo amewataka waandishi wa habari za michezo hapa nchini kuandika habari za michezo zilizosahihi. Hatua hiyo...
View ArticleGARI AINA YA PAJERO iO INAUZWA
Gari inauzwa kwa bei nzuri tu na ipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chiniSPECIFICATIONS ZA GARI HIYO NIMAKER: MITSUBISHIMODEL: PAJERO IOYoM: 1998CC: 1983Odo:...
View ArticleKINANA AANZA ZIARA MKOA WA TANGA
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara leo, Septemba 23, 2014, kwenye Uwanja wa Soko la zamani wilayani Handeni, mwanzoni kwa ziara yake ya siku 11 kukagua na kuhimiza...
View ArticleZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KUTEMBELEA VITUO VYA UMEME VYA MBAGALA,G/MBOTO...
Waandishi wakiwasili kituo cha kupoza umeme Mbagala wakipokewa na Meneja Miradi Mhandisi Emmanuel Marirabona,(wa tatu kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco, Mhandisi...
View ArticlePECHE BOY KUMKABILI JUMA FUNDI KATIKA MASUMBWI
Bondia anayechipukia kwa kasi issa omar nampepeche au “Peche boy” kama wengi wanavyomwita, ataoneshana umwamba na bondia mkongwe mwenye rekodi nzuri ya kuwapiga kina nasibu ramadhan,majia na kupoteza...
View ArticleTBL YATOA MSAADA WA VIFAA KWA AJILI YA KUWALINDA TEMBO
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikula akikambidhi, Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa), Pascal Shelutetedarubini 20 pamoja na vifaa makini vya utambuzi wa mahali...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA WAKAGUZI WA HESABU ZA NDANI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua Kongamano la mwaka la siku tatu la Wakaguzi wa Hesabu za Ndani, linaloendelea kwenye ukumbi...
View ArticleSERIKALI YAWATAKA WADADISI WA UTAFITI KUZINGATIA WELEDI
Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewataka wasimamizi na wadadisi wa Utafiti wa Tathmini ya Utoaji wa huduma za Afya nchini mwaka 2014/15 kuzingatia weledi katika utekelezaji wa majukumu yao na kuepuka...
View ArticlePress Release
TANZANIA AIRPORTS AUTHORITY (TAA) Etihad Airways in Dar by December*Reveals Network Growth StrategyThe Abu Dhabi, United Arab Emirates (UAE) based airline, Etihad...
View ArticleMICHUANO YA DK. Mwaka SPORTS EXTRA NDONDO CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA
Viongozi na wawakilishi wa timu shiriki za Dk. Mwaka Sports Extra Ndondo Cup wakizionesha jezi watakazozitumia katika michano hiy, inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi keshokutwa Ijumaa kwenye Uwanja wa...
View Article