Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EVELYN BAASA NDIYE REDD'S MISS TANZANIA PHOTOGENIC 2014

 Miss Tanzania Photogenic 2014, Evelyn Baasa. Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora ya Redd’s Miss Tanzania Photogenic 2014, wakiwa katika picha ya pamoja na mshindi wa taji hilo, Evelyn...

View Article


KINANA AKISHONA NGUO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijana wahamasishwa kutembelea vituo vya afya kujua afya zao

Msaniiwa Muziki wa Taarabu na mpiga Gitaa maarufu nchini Bw. Thabit Abdul akizungumza na vijana wa jijini la Dar es Salaam wakati wa hafla ya Jamvi la Vijana ambalo uendeshwa mara moja kila mwezi na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA 1 POLISI MOROGORO 1

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lililofungwa na Emmanuel Okwi (katikati) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa. (Picha na Francis Dande) Okwi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA SKAUTI NGAZI YA TAIFA YAFUNGWA RASMI MKOANI MOROGORO

 Kamishina Mkuu Msaidizi Programu ya Vijana wa Chama cha Skauti Tanzania (TSA), Mary Anyitike (kushoto), akimvisha  Nishani ya Skauti, Safi Shabani kiongozi wa Skauti kutoka  Shule ya Sekondari Lugoba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KINANA LUSHOTO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Nape Nnauye wakiwapungia wananchi walipokuwa wakiingia kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Mlola wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAELEKEA MOROGORO KATIKA MICHEZO YA SHIMIWI

 Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamali Watu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. D. Mndeme (kushoto) akizungumza na wanamichezo wa Ofisi yake wakati akiwaaga na kukabidhiwa vifaa vya michezo leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ombaomba Dodoma wadai; 'Ijumaa kwao ni Siku ya Mshahara (Payday)

Baadhi ya Ombaomba waliokutwa na Mwandishi wakiomba kwenye mitaa mkoani Dodoma.Na Bryceson Mathias, DodomaWAKATI Tatizo la Ombamba nchini likiwa Sugu na jitihada za kulitatua bado hazijafanikiwa;...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtoto Mlemavu awekwa ndani miaka 9

 Mtoto, Daniel Julius Mushi (12), mlemavu asiyetembeaanayetunzwa ndani  kwa miaka 9 bila kutoka nje tangu 2005. (Picha na Bryceson Mathias)Kushoto na Kulia ni  Julius Mushin a Mkewe Ester Kwayu, Wazazi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIHAN DIMACHK NDIYE REDD'S MISS TANZANIA TOP MODEL 2014

Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014, Jihan Dimachk (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen Robert (wapili kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss...

View Article

NBS YAWATAKA WADAU WA MAENDELEO KUTUMIA KANZA KATIKA KUTOA TAKWIMU ZA KILIMO

Na Mwandishi WetuOFISI ya Taifa ya Takwimu imewataka watunga Sera, taasisi, mashirika, na wadau mbalimbali wa maendeleo kuitumia Kanza  (Data base), rasmi ya takwimu za Chakula na Kilimo iliyoanzishwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAANZA LIGI RASMI YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-1

Mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Tanzania Prisons, Lauvian Mpalile (kushoto) na Jeremia Juma wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Wajumbe wa  Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) na profesa Mark Mwandosya wakifuatilia mjadala bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mjumbe wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PSPF YADHAMINI MASHINDANO YA SHIMIWI YANAYOENDELEA MKOANI MOROGORO KATIKA...

 Baadhi ya watu wakiwa wanafuatilia mashindano hayo ya SHIMIWI yanayo endelea Mjini Morogoro katika uwanja wa Jamuhuri   Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Netball wakiwa wanajiandaa na Mchezo wao  Afisa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund...

 Mgeni Rasmi katika hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund,Mwenyekiti wa CCM Mkoawa Dar es Salaam,Ndg. Ramadhan Madabida akitoa hotuba yake kabla ya kuanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA VYOMBO VYA HABARI KUSINI MWA AFRIKA(MISA-TAN) YAADHIMISHA SIKU YA...

Mkurugenzi  wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kushoto) akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA KINANA JIMBO LA MLALO

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimu wakazi wa kijiji cha Kwekangaga ikiwa siku ya pili ya ziara yake katika wilaya Lushoto ambapo alishiriki ujenzi wa ofisi ya tawi la CCM. Katibu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania yaendelea kunufaika na uhusiano mwema uliopo baina yake na Taifa la...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu –Uwekezaji na Uwezeshaji Dkk. Mary Nagu akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa hafla ya kuadhimisha miaka 65 tangu kuanzishwa Jamhuri ya Watu wa China jana...

View Article

Kweingoma waahidi uhondo wa ngoma ya selo tamasha la Handeni Kwetu

Na Mwandishi Wetu, HANDENI KIKUNDI cha ngoma cha selo kilichopo katika kijiji cha Kweingoma, wilayani Handeni, mkoani Tanga, kimesema kimepania vikali Desemba 13 mwaka huu kufanya balaa katika tamasha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAMA AWAPIGA JEKI KKKT SEGEREA

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza katika tamasha la Uimbaji na Uchangiaji wa Ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Segerea jijini Dar...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>