Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

SSB yaipiga tafu Taswa

$
0
0
Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa habari za michezo (TASWA) Juma Pinto (kulia) akipokea mfano wa hundi ya Tsh.10,000,000 kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kundi la Kampuni za Said Salim Bakheresa (SSB) Mohamed Said Abeid (kushoto)  kwa ajili ya sherehe za mwanamichezo bora. Kutoka wa pili Katibu Mkuu wa TASWA, Amir Mhando na Makamu mwenyekiti Egbert  Mkoko. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam. (Na Mpiga Picha Wetu)

Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa habari za michezo (TASWA) Juma Pinto (kulia) akipokea mfano wa hundi ya Tsh.10,000,000 kutoka kwa Meneja Mkuu wa Kundi la Kampuni za Said Salim Bakheresa (SSB) Mohamed Said Abeid (kushoto)  kwa ajili ya sherehe za mwanamichezo bora. Kutoka wa pili Katibu Mkuu wa TASWA,Amir Mhando na Makamu mwenyekiti Egbert  Mkoko.Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>