SHIRIKA LA NYUMBA LATOA MASHINE 28 ZA KUFYATULIA MATOFALI KWA VIJANA MKOANI...
Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Pwani, Pauline Mrango akisoma Hotuba ya makabidhiano ya mashine 28 za kufyatulia matofali kwa vikundi vya vijana katika halmashauri zote za mkoa wa Pwani. Shirika...
View ArticleMtwara wapewa Mafunzo ya Maafa
Ofisi ya Waziri Mkuu, Idara ya Uratibu wa Maafa imetoa Mafunzo ya Dhana ya Maafa kwa wataalamu kutoka Halmashauri na Manispaa ya Mkoa wa Mtwara kwa ajili ya kuandaa Mpango wa Kujiandaa na Kukabiliana...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUDHURIA HAFLA YA KUMPONGEZA KWA UONGOZI MZURI YA USIKU WA...
Rais Jakaya Kikwete akiwa na mtoto wa miaka minane aliejitambulisha kwa jina la Brian ambaye alitoa burudani ya kupiga kinanda wakati wa wimbo wa Taifa na nyimbo nyinginezo katika hafla ya USIKU WA...
View ArticleWAREMBO MISS TANZANIA WASHUHUDIA UPIMAJI WAGONJWA WA EBOLA UWANJA WA NDEGE WA...
Washiriki wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2014, wakimsikiliza Afisa Mfawidhi, Nisalile Mwangoka aliyekuwa akiwapa maelezo juu ya upimaji wa wageni wanao ingia nchini kupitia viwanja vya ndege...
View ArticleKINANA ATINGA KIHABA MJINI LEO, AKAGUA NA KUFUNGUA MIRADI YA MAENDELEO
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kuvyeka miti wakati wa uzinduzi wa kambi ya Umoja wa Vijana wa CCM, ya mafunzo ya kilimo katika eneo la Boko Timiza, Kibaha mjini mkoa wa Pwani. Katika...
View ArticleWATANZANIA MSIWACHAGUE VIONGOZI WENYE UCHU WA MADARAKA
Na Mwandishi WetuASKOFU wa Kanisa la Hossana Life Mission Ephraim Mwansasu, amewataka Watanzania kutowachagua wanasiasa ambao wako tayari kumwaga damu ili mradi wapate madaraka katika uchaguzi mkuu...
View ArticleCOASTAL UNION YAIVIMBIA SIMBA, YATOKA SARE YA 2-2
Beki wa Simba, Mohamed Hussein (kulia) akichuana na Seleman Rajab. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2.Emmanuel Okwi akiwania mpira na beki wa Coastal Union. Umati wa mashabiki waliofika uwanja wa Taifa....
View ArticleAFANDE SELE AWASIHI WASANII KUWA NA MOYO WA KUSAIDIANA
Baadhi ya Wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha la Fiesta 2014 lenye kauli mbiu (sambaza upendo) wakiwasili mapema leo mchana nyumbani kwa Mama Mkwe wa Afande Sele,mtaa wa Amani mjini...
View ArticleNSSF YAKABIDHI KADI ZA UANACHAMA KWA WANACHAMA WA HIARI KUTOKA TAASISI YA PFT
Hadi kufikia sasa PFT imefanikiwa kuunda jumla ya vikundi 150 vyenye wanachama 3,865 , wanawake wakiwa 3469 na wanaume 396, wanachama hao wamewekeza jumla ya sh. 1,443,806,510 kupitia mpango wa ununuzi...
View ArticleMSAMA AWAPIGA TAFU YATIMA DAR
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama (lushoto), akimkabidhi sehemu ya msaada wa vyakula Katibu Mkuu wa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Maunga Center cha...
View ArticleREDD'S MISS TANZANIA WATEMBELEA KIA NA HIFADHI YA ARUSHA
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014, wakiangalia fuvu la Kiboko lililohifadhiwa katika makumbusho ya Ngurudoto yaliyopo ndani ya hifadhi ya taifa ya Arusha. Warembo 30...
View ArticleTANESCO NA MIRADI NA UMEME
Na Mwandishi WetuMKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme (Tanesco), Mhandisi, Felchesmi Mramba, amesema baada ya kukamilika miradi mingi iliyoanzishwa ya ufuaji umeme katika kila mkoa, tatizo la umeme...
View ArticleTUNDA MAN ASINDIKIZA SHOW YA VIPAJI WAREMBO MISS TANZANIA BABATI MKOANI MANYARA
Warembo 15 kati ya 30 wanaoshiriki shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakisindikizwa na mkali wa Bongo Fleva kutoka Jijini Dar es Salaam, Tunda Man, wametoa burudani kali wakati wa shindano dogo la...
View ArticleZIARA YA WAANDISHI WA HABARI WA MKOA WA MBEYA MALAWI
Waandishi wa habari kutoka mkoa wa Mbeya wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Habari,Utalii na Utamaduni wa Malawi ,(wa pili kutoka kushoto walioketi),Kondwani Nankhomwa kwenye ofisi ya wizara...
View ArticleIPTL YAZIDI KUNG'ARA AFRIKA MASHARIKI
Na Mwandishi WetuKAMPUNI ya kufua umeme ya Pan African Power Solution inayoimiliki kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imezidi kung’aa katika nchi za jumuia ya Afrika Mashariki katika...
View ArticleAIRTEL YAMWAGA VITABU MKOANI MWANZA
Ofisa Elimu Sekondari Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza Juma Kasandiko (kulia) akimkabithi vitabu Mkuu wa Shule ya Sekondari Shibula James Chisanda vilivyotolewa na Airtel chini ya mpango wake wa...
View ArticleUVCCM YACHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA UJENZI WA CHOO MKOANI MBEYA
Kamanda wa Umoja wa Vijana UVCCM kata ya Chimala, Francis Mtega akiwahutubia wafuasi wa chama cha Mapinduzi wakati wa kuweka jiwe la msindi katika shina na wakeketwa wa chama hicho karibu na kilabu cha...
View ArticleSHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAWAKOMBOA VIJANA MKOANI PWANI
Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Pwani Pauline Mrango akisoma Hotuba ya makabidhiano ya mashine 28 za kufyatulia matofali kwa vikundi vya vijana katika halmashauri zote za mkoa wa Pwani.Katibu Mkuu...
View Article