


Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuashiria makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali zilizotolewa na shirika la nyumba la Taifa kwenda kwenye halmashauri zote za mkoa wa Pwani.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipokea risala kuashiria makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali zilizotolewa na shirika la nyumba la Taifa kwenda kwenye halmashauri zote za mkoa wa Pwani.

Hizi ni baadhi ya mashine![11]()
![12]()



Baadhi ya wafanyakazi wa NHC.