Waandishi wa habari kutoka mkoa wa Mbeya wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Habari,Utalii na Utamaduni wa Malawi ,(wa pili kutoka kushoto walioketi),Kondwani Nankhomwa kwenye ofisi ya wizara hiyo zilizopo jiji la Lilongwe (Picha Na Christopher Nyenyembe, aliyekuwa Malawi)