MAHAKAMA YA WAZI YA KINANA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana amekuja na aina mpya ya kuwakutanisha wananchi na viongozi wao kwenye mikutano yake ambapo amekuwa akitoa nafasi kwa wananchi kusema kero zao mbele ya...
View ArticleMAOFISA WA TBL WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOWEZESHWA NA ACE AFRICA CHINI...
Mwenyekiti wa Kikundi cha Tumaini Saccos, akiowanesha namna sanduku maalumu la kutunzia taarifa za kikundi chao linavyolindwa, wakati maofisa wa Kampuni ya Bia Tanzania walipokwenda hivi karibuni...
View ArticleKUMBUKUMBU YA MIAKA 7 YA KIFO CHA MZEE SHAURI TIMOTHEO NATHAN
Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007) Sekunde, Dakika, Saa, Siku, Wiki, Mwezi, Mwaka na hatimaye mika saba sasa imetimia tangu Mzee Shauri Timoth Nathan (18/08/1925-18/09/2007)...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI MAREKANI KUHUDHURIA MKUTANO WA 69 WA UMOJA WA MATAIFA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ameondoka nchini usiku wa jana, Jumatatu, Septemba 15, 2014, kuanza ziara ya wiki mbili katika Marekani ambapo atahutubia...
View ArticleKINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MAFIA, ASAFIRI KWA BOTI PAMOJA NA WANANCHI
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipanda kwenye boto katika Bandari ya Mafia kwenda Bandari ya Nyamisati, wilayani Rufiji baada kufanya ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya...
View ArticleMWENYEKITI WA CHADEMA AHOJIWA POLISI KWA SAA TANO
Baadhi ya wapenzi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakishangilia baada ya gari lililokuwa limembeba Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, alipowasili leo Makao Makuu ya...
View ArticleCCM DAR WATEMBELEA UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI LINALOJENGWA NA NSSF
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (wa tatu kushoto), wakiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja...
View ArticleWEDDING CEREMONY OF RENATUS MALULU AND IMERESIANA CHARLES
Bwana harusi Renatus Malulu akimvisha pete ya ndoa mkewe Imeresiana Charles wakati wa ibada ya ndoa yao iliyofanyika katika kanisa katoliki la Mtakatifu Mashahidi wa Uganda la Magomeni jijini Dar es...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY FATHER KIDEVU!!
LEO ni siku ya kuzaliwa ya mpiganaji Mroki Mroki 'Father Kidevu' ambapo leo anaadhimisha miaka kadhaa hapa duniani. Anasema Sifa na Utukufu anazirudisha kwa Mungu maana yeye ndie ajauae sababu ya...
View ArticleMILEMBE INSURANCE KUNOGESHA TAMASHA LA KWANZA LA MAGARI LA ‘AUTOMOBILE...
Mmiliki wa Jossekazi Auto garage ambao ndiyo waandaaji wa tamasha akizungumza na waandishi wa habari juu ya tamasha la kwanza la Magari la aina yake, linalojulikana kwa jina la Automobile Clinic,...
View ArticleTamko la asasi za kiraia kuhusu Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya...
Asasi Nne zisizo za kiserikali zinazojishughulisha na kupambana na mabadiliko ya tabianchi nchini ForumCC, CAN, YouthCAN na Oxfam Tanzania zimetoa tamko la pamoja kuhusiana na Mkutano wa Umoja wa...
View ArticleMwenyekiti: CHADEMA haitaangamizwa na Watu Waovu
Na Bryceson Mathias, MorogoroBAADA ya kukamilishwa kwa Chaguzi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) toka Ngazi ya Msingi hadi Taifa, mbali ya kuupongeza Ucgaguzi huo, Mwenyekiti wa Chadema...
View ArticleSAFARI YA KINANA KUTOKA NYAMISATI MPAKA MAFIA KWA BOTI YA KIZAMANI
Ilikiwa ni safari ngumu lakini yenye mafunzo mengi nikiwa nimepanda kwenye boti ya Doria wakati wa msafara wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake tukitokea Nyamisati kuelekea...
View ArticleSERIKALI ZA TANZANIA NA MALAWI ZASEMA HAZINA TOFAUTI JUU YA MPAKA WA ZIWA NYASA
Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mh. Patrick Tsere Akizungumza na waandishi wa Habari kutoka Mbeya walipotembelea Ofisi za ubalozi Nchini Malawi.Baadhi ya Waandishi wakimsikiliza Balozi Baadhi ya...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MPANGO WA UTAMBUZI WA UJUZI ULIOPATIKANA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kama ishala ya kuzindua rasmi mpango wa Utambuzi wa ujuzi uliopatikana nje ya mfumo rasmi wa mafunzo, kwa...
View ArticleUNAAMBIWA HIVIII, UKITAKA RAHA NA BURUDANI YA MUZIKI MZURI BASI NI SKYLIGHT...
Majembe ya kazi wakiwajibika jukwaaani ili kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wao ndani ya uwanja wao wa nyumbani Thai Village Kutoka kushoto ni Joniko Flower akifuatiwa na Sony Masamba (katikati)...
View ArticleYANGA YATAKIWA KUWASILISHA RASIMU YA KATIBA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeitaka klabu ya Yanga kuwasilisha rasimu ya Katiba waliyoipitisha, kwa kuzingatia kuwa Muhtasari wa kikao cha Mkutano Mkuu wao wa Juni 1 mwaka huu...
View ArticleAzam Media wamwaga fedha VPL
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Silas Mwakibinga (kulia), akipokea hundi ya sh. milioni 423.5 kutoka Mtendaji Mkuu wa Azam Media, Rhys Torrington kwa ajili ya klabu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Soka...
View ArticleTanesco: Mgodi wa Kidatu bado una uwezo
SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco), limesema mgodi wa kufua umeme uliojengwa Kidatu Morogoro mwaka 1975, bado una uwezo wa kuzalisha nishati hiyo kwa kiwango cha kutosha.Kauli hiyo, ilitolewa...
View Article