WANAWAKE VAENI NGUO SASA, KAMA KUVUA MUMESHAVUA IMETOSHA
MOJA ya sifa ya mwandishi ni kusoma, na katika kusoma huko na kupekua pekua hapa na pale unaweza kujifunza na kupata la kuandika kupitia maandiko ya watu wengine na kutoa elimu kwa umma. Leo nimepita...
View ArticlePRESIDENT KIKWETE LAUNCHES World bank's report on Productive Jobs Necessary...
President Jakaya Mrisho Kikwete greets Managing Director of the World Bank Ms Sri Mulyani Indrawati as he arrives at the launch of the bank's report on Productive Jobs Necessary for Tanzania’s...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI WANAOENDA NCHINI MALAWI WAAGWA RASMI
Baadhi ya waandishi wa habari wanaosafiri kwenda Malawi wakiwa wanamsikiliza Katibu tawala msaidizi wakati wa kuagana. Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Mbeya, Leonard Magacha akizungumza na waandishi wa...
View ArticleMAFUNZO YA TIKETI ZA ELEKTRONIKI UWANJA WA TAIFA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kesho Jumamosi (Septemba 13 mwaka huu) saa 4 asubuhi litaendesha mafunzo ya matumizi ya tiketi za elektroniki kwa wadau wa mpira wa miguu Dar es...
View ArticleKMKM YATWAA NGAO YA JAMII-ZANZIBAR
Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi Ngao ya Jamii nahodha wa timu ya KMKM, Khasim Ali baada ya kuifunga Shaba ya Pemba 2-0 katika mchezo...
View ArticleHALIMA MDEE AWA MWENYEKITI MPYA BAWACHA
Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa (Bawacha), wakifungua shampeni kusherehekea ushindi wa Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema Taifa, Halima Mdee (kushoto) baada ya...
View ArticleURA YAIZIMA SIMBA, YAIFUNGA 1-0
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Amri Kiemba (katikati), akiwatoka mabeki wa timu ya URA ya Uganda katika mchezo wa Kimataifa wa Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo....
View ArticleNYUMBA ZINAPANGISHWA
Sehemu ya mbele. ENEO: Nyumba ipo PUGU-Umbali wa mita 100 toka Barabara Kuu ya lami. Nyumba 3 za familia zipo ndani ya eneo moja kila moja inajitegemea.UKUBWA: Kila moja...
View ArticleBENKI YA CRDB NA TEKNOLOJIA KATIKA SOKA
Shabiki wa soka akinunua tiketi ya Kieletronic katika mashine maalum iliyofungwa katika tawi la Benki ya CRDB la Azikiwe jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Yanga na Azam...
View ArticleNYUMBA INAPANGISHWA
Nyumba hii ipo Mbagala Kuu inapangishwa ina maji, umeme sehemu ya kuegesha gari wakati wote nyumba 3 na kila kitu ndani piga namba hii 0715 896 551 kwa mazungumzo huyu mwenye nyumba siyo dalali.
View ArticleWAZIRI MKUU AANZA ZIARA MKOANI TANGA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi Kulia ni Mkuu wa...
View ArticleWaziri Mwakyembe azindua magari ya milioni 840/- JNIA
Baadhi ya maofisa wa Serikali waliohudhuria hafla hiyo ya uzinduzi. Baadhi ya madereva wa taxi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa magari yao wakifuatilia hotuba ya Waziri Mwakyembe. Kwa mbali kulia...
View ArticleCOASTAL UNION KUWAKARIBISHA MTIBWA SUGAR KESHO MKWAKWANI
Na Mwandishi Wetu, TANGATIMU ya Coastal Union ya Tanga “Wagosi wa Kaya” kesho Jumapili itacheza mechi ya kirafiki na Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa...
View ArticleWaathirika mabomu kuwang’oa viongozi wao
Wananchi wa Mbagala Kuu ambao waliathilika na mlipuko wa mabomu katika kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), Aprili 2009 wakiwa na mabango yenye ujumbe wa kumtaka Rais Jakaya Kikwete asikilize kilio chao...
View ArticlePINDA AONGOZA KIKAO CHA KUTATUA MGOGORO WA KIWANDA CHA CHAI CHA LUPONDE
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Ali Juma Mkangala mmoja washiriki wa Mkutano wa Kutatua mgogoro wa kiwanda cha chai cha Liponda kilichopo Bumbuli Tanga. Mkutano huo ulifanyika kwenye ukumbi wa...
View ArticleKINANA AHUTUBIA MAMIA KIMANZICHANA
Kinana akihutubia Kimanzichana wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani leo. (Picha Bashir Nkoromo)
View ArticleTANGAZO LA MSIBA WA MZEE IDRISA KILANGI
Bwana Mfaume Kilangi wa Tuangoma Marela-Kigamboni Jijini Dar es Salaam anasikitika kutanga kifo cha baba yake mzazi MZEE IDRISA KILANGI (pichani) kilichotokea alfajiri ya kuamkia leo jijini Dar es...
View ArticleAZAM, YANGA HAPATOSHI LEO
Kocha Msaidizi wa Azam, Kalimangonga Ongara akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuhusu pambano lao na Yanga la Ngao ya Hisani litakalofanyika leo...
View ArticleNSSF YADHAMINI PAMBANO LA SIMBA NA NDANDA FC
NSSF kupitia mpango wake wa Wakulima Scheme yadhamini mechi ya kujipima nguvu kati ya Simba ya Dar es Salaam na Ndanda FC ya Mtwara kwenye uwanja wa CCM wa Nangwanda Sijaona na kuhudhuriwa na maelfu...
View ArticleYANGA YAIBAMIZA AZAM FC 3-0
Mshambuliaji wa Yanga Mrisho Ngasa, kushoto akimtoka beki wa Azam FC, Erasto Nyoni katika mchezo wa Ngao ya Hisani uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanya imeshinda 3-0....
View Article