SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA DAR NYAMA CHOMA FESTIVAL
Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es...
View ArticleGARI AINA YA TOYOTA VEROSSA INAUZWA
Gari inauzwa kwa bei nzuri tu na ipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia mawasiliano hapo chiniSPECIFICATIONS ZA GARI HIYO NIMAKER: TOYOTAMODEL: VEROSSAYoM: 2001CC: 1980Odo:...
View ArticleKIINGILIO MECHI YA NGAO YA JAMII 5,000
Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ngao ya Jamii kuashiria uzinduzi wa msimu mpya wa Ligi kati ya Azam na Yanga itakayochezwa Jumapili (Septemba 14 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh....
View ArticleMBUNGE WA JIMBO MOROGORO KUSINI ATEKELEZA AHADI YAKE YA KUKUWEZESHA CHAMA CHA...
Mbunge wa Jimbo la Morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris (kulia) Ahimkabidhi Pikipiki 11 Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Vijijini Mh Jazar Ikiwa Ni ahadi yake aliyoitoa ya Kukusaidia chama cha...
View ArticleVilla Squad kukipiga na Ashanti United
Na Andrew ChaleKwa mujibu wa Katibu wa Villa, Mbarouk Kasanda mchezo huo utakuwa ni mahususi kwa ajili ya kukipa makali kikosi chao hicho kinachotarajia kujiwinda kurejea ligi kuu msimu ujao.Kasanda...
View ArticleMISS UNIVERSE TANZANIA 2014 CALL FOR ENTRIES
Je wewe ni mrembo, mrefu mwembaba unayejiamini? Usisite kuchukua forms za kujiunga na Miss Universe Tanzania 2014 katika mikoa ifuatayo MWANZA (LULU SANGA- 0715471412); IRINGAna MBEYA ( VERONICA...
View ArticleWAREMBO WA REDDS MISS TANZANIA 2014 KUINGIA KAMBINI TAREHE 13 SEPTEMBA 2014
Washiriki wa Fainali za Mashindano ya urembo ya Redds Miss Tanzania 2014 kutoka mikoa mbalimbali nchini wataanza kambi rasmi ya mafunzo kwa kuingia kambini Jumamosi ya tarehe 13 Septemba 2014....
View ArticleKIFARU CHA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA (JWTZ) CHAGONGA NYUMBA NA KUUWA WATU...
Kifaru kilichokuwa kikisafiri kutoka Mtwara kwenda Lindi kikiwa kimeacha njia na kugonga nyumba usiku wa kuamkia leo katika kijiji cha Mnolela Lindi vijijini, kusababisha vifo vya watu watatu katika...
View ArticleMKUTANO WA BAVICHA KATIKA PICHA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akitoka katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Baraza la Vijana la chama hicho....
View ArticleWANAFUNZI WANAOMALIZA DARASA LA SABA TUWATUNZE KIMAADILI WAKISUBIRI MATOKEO
LEO watoto wetu wapatao 808,111 wanamaliza elimu yao ya msngi ya Darasa la Saba nchini kote.Hii ni idadi tu ya wale ambao wamejisajili kufanya mitihani hiyo kwa mawa huu na Baraza la Mitihani...
View ArticleMECHI YA COASTAL UNION NA MTIBWA SUGAR YASOGEZWA MBELE SASA KUCHEZWA JUMAPILI
Na Mwandishi Wetu TIMU ya Coastal Union ya Tanga “Wagosi wa Kaya” ambayo ilikuwa icheze mechi ya kirafiki na Mtibwa Sugar Jumamosi wiki hii kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mchezo huo umesogozwa mbele...
View ArticleWAHITIMU WA DARASA LA SABA IRINGA WAJIHAKIKISHIA UFAULU MZURI MTIHANI WA...
Mhitimu wa darasa la saba shule ya Msingi Muungano mjini Iringa aliyejitambulisha kwa jina moja la Emanuel akifuatilia tangazo la masomo ya ziada (TUITION) kwa ajili ya kidato cha kwanza...
View ArticleUZINDUZI WA COKE STUDIO AFRICA WAFANA DAR
Wanamuziki Vanessa Mdee, Jo Makini na Shaa wakiwa katika picha ya pamoja kwenye 'red Carpet wakati wa uzinduzi huo.Mwanamitindo Rio Paul (kushoto) akiwa na rafiki zake muda mfupi baada ya uzinduzi...
View ArticleJux aachia ‘Sisikii’ redioni
Na Andrew ChaleMWANAMUZIKI nyota anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki nchini, Juma Mussa ‘Jux’ anayetamba zaidi na vibao vya ‘Uzuri wako’ na ‘Nitasubiri’, ameachia rasmi wimbo wake mpya wa...
View ArticleBAWACHA WACHAGUANA
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akizungumza wakati wa mkutano Mkuu wa Baraza la wanawake Chadema taifa. uliofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Francis Dande)Mgombea wa nafasi ya...
View ArticleCHUO KIKUU CHA BAGAMOYO KUTOA MAFUNZO KWA WATETEZI HAKI ZA BINADAMU
Kaimu Makamu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo anayeshughulikia masuala ya Fedha Utawala, Dk. Elifuraha Mtaro (kulia) akimkabidhi barua ya udhamini wa mafunzo ya masomo ya haki za binadamu, mwanafunzi wa chuo...
View ArticleMASHABIKI WA SKYLIGHT BAND KUSHEHEREKEA BIRTHDAY YA MR. JACK’S HUKU WA...
Mpango mzima unahisika kwa usiku wa leo pale Thai Village.Vijana watanashati wa Skylight Band wakimsindikiza Sam Mapenzi (wa pili kuhsoto) kutoa burudani ya Live Music kwa mashabiki wa bendi hiyo...
View ArticleMOTO WAZUKA TENA MSIKITI WA MTAMBANI LEO
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Umoja wa Vijana Msikiti wa Mtambani, Hassan Hussein akionyesha darasa lililoungua na moto katika Shule ya Sekondari ya Seminari ya Mivumoni jijini Dar es Salaam. (Picha na...
View ArticleWILLIAM ERIO AIFAGILIA CRDB
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni za wastaafu PPF, Bw.William Erio ameipongeza benki ya CRDB kwa kuendelea kuwa benki bora yenye huduma nzuri zaidi hapa nchini. Bw. Erio aliyasema hayo jijini Arusha...
View Article