$ 0 0 Nyumba hii ipo Mbagala Kuu inapangishwa ina maji, umeme sehemu ya kuegesha gari wakati wote nyumba 3 na kila kitu ndani piga namba hii 0715 896 551 kwa mazungumzo huyu mwenye nyumba siyo dalali.